mmekutravella
Senior Member
- Apr 16, 2013
- 100
- 32
Tofauti na app,unaweza kureplace "www." with "ss",mfano www.youtube.com/watch,itakua ssyoutube.com/watch...,ila ni baada ya kuselect video unayoitaka.
So baada ya hapo inakuwa imejisevu auto ama??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tofauti na app,unaweza kureplace "www." with "ss",mfano www.youtube.com/watch,itakua ssyoutube.com/watch...,ila ni baada ya kuselect video unayoitaka.
So baada ya hapo inakuwa imejisevu auto ama??
Mi huwa natumia app inayoitwa TubeMate..ni nzuri sana
Aloo kwa sisi tunaopenda ile kopy na paste haya maelezo ni magumu ngoj tujarb mna hata mm tati ni hlo hloNadhani mkuu kwa x2-01 njia ni hiyo aliekupa mkuu hapo juu hatua
1. Fungua youtube then tafutavideo unayo taka kuidownlod
2.fungua ile video uwe kama unataka kuiplaya online.( ila usi iplay)
3. Angalia kwenye browser yako hapo juu itaona imekaa web ya hiyo nyimbo mfano. Shilole Ft AT - Dume Dada - YouTube
4. Copy kwanza hiyo link yote
5.ukimaliza ku copy hiyo link ifungue na kui edit kwa kuanza na ss. Mfano. ssyoutube.com/watch?v=P9EMli_JKaY&ctp=CBoQpDAYCyITCOfnxuCq4b8CFcSyywodjjUABVIHU2hpbG9sZQ%3D%3D
6. Search hiyo link itafunguka web tofauti na youtube then kuna sehemu uta Paste ile link uliyo copy mara ya kwanza halafu bofya downlod. Zitakuja format tofauti kama mp4 nk. Chagua moja wapo kulingana ni uwezo wa simu yako, itaanza kudownload.
Samahan kama maelekezo yamekuwa marefu.
Kwanini upate matabu sijui.ya kucopy kupaste.Dawa ya matatizo download tubemate you tube downloader.Hii inafungua youtube yenyewe na unaanza kuidownload hapo hapo hakuna kuzunguka zunguka.Unajua hata kwenye mtandaoa kuna link nyingine zina urasimu utazungushwa zungushwa we .Pata kitu tubemate utafurahii mwenyewe ila haipatikani playstore.
by inspectorbenja;
Kwanini upate matabu sijui.ya kucopy kupaste.Dawa ya matatizo download tubemate you tube downloader.Hii inafungua youtube yenyewe na unaanza kuidownload hapo hapo hakuna kuzunguka zunguka.Unajua hata kwenye mtandaoa kuna link nyingine zina urasimu utazungushwa zungushwa we .Pata kitu tubemate utafurahii mwenyewe ila haipatikani playstore
Mkuu inspectorbenja, hii tube mate inapatikana wap?
Kumbuka simu ni x2-01
Tofauti na app,unaweza kureplace "www." with "ss",mfano www.youtube.com/watch,itakua ssyoutube.com/watch...,ila ni baada ya kuselect video unayoitaka.
usikimbilie ku comment tu pasipo kujua shida ya mtoa mada.
Hiyo simu anayozungumzia mtoa mada si android.
Labda kabla ya kumshauri kudownload hiyo tubemate nk... Ungemshauri kwanza anunue simu ya android.