Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu nahitaj kufahamu kuwa je naweza kudownload video YouTube kwa kutumia internet downloading manager?na kama kuna njia nyingine ya kudownload YouTube videos naomba nifahamishwe.
Ndio unaweza kudownload kwa kutumia internet download manager, lakini siku hizi pirated version zinachagua sana video format za kudownload, kama unayo ambayo ni genuine na iko up to date, internet download manager ni nzuri, au waweza tumia youtube download, nenda google, andika youtube downloader kisha idownload hiyo setup, ukimaliza, i-install, na kisha ifungue. Kudownload, fungua youtube kisha cheza video uitakayo, kwenye address bar, copy url yote ya hiyo video, kisha i-paste kwenye textbox ya url kwenye youtube downloader. Kisha i-download, ikimaliza kudownload kuna pop up window, fuata maelekezo hapo. Software zengine watakujuza wadau wengine wanaozijua.
Waliotakiwa kuingia hapa ni wanaojua sio wewe usiejua kwa 7bu hutasaidia lolote, alichotaka yy ni msaada. Bye!!Mwenyewe nlikua sijui
Kuna njia ingine ukiwa youtube umeshfungua video yake.
Elekea pale kwenye url ( YouTube)
Ongeza herufi ss baada ya www.
Ionekane hivi Free Online YouTube Downloader: Download YouTube Videos, Facebook and many others!
Bofya enter
Itakuletea page ya save to file
Chagua format inayokufaa.
Its the best.Kwa sasa nina kila video ninayoitaka kutoka youtube tena katika format ninayoitaka.kaka achana kabisa na freemake, imenifanya niiweke pembeni IDM kwenye kudownload Youtube videoz.
Ndio unaweza kudownload kwa kutumia internet download manager, lakini siku hizi pirated version zinachagua sana video format za kudownload, kama unayo ambayo ni genuine na iko up to date, internet download manager ni nzuri, au waweza tumia youtube download, nenda google, andika youtube downloader kisha idownload hiyo setup, ukimaliza, i-install, na kisha ifungue. Kudownload, fungua youtube kisha cheza video uitakayo, kwenye address bar, copy url yote ya hiyo video, kisha i-paste kwenye textbox ya url kwenye youtube downloader. Kisha i-download, ikimaliza kudownload kuna pop up window, fuata maelekezo hapo. Software zengine watakujuza wadau wengine wanaozijua.
( lipo zipped)
Sasa si unzip ndiposa ufanye installation...
Sifahamu mkuu ndo mana naomba msaada nfanyeje