Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Wakuu nahitaj kufahamu kuwa je naweza kudownload video YouTube kwa kutumia internet downloading manager?na kama kuna njia nyingine ya kudownload YouTube videos naomba nifahamishwe.

kwanza unatakiwa udownload youtube downloader.
 
Ndio unaweza kudownload kwa kutumia internet download manager, lakini siku hizi pirated version zinachagua sana video format za kudownload, kama unayo ambayo ni genuine na iko up to date, internet download manager ni nzuri, au waweza tumia youtube download, nenda google, andika youtube downloader kisha idownload hiyo setup, ukimaliza, i-install, na kisha ifungue. Kudownload, fungua youtube kisha cheza video uitakayo, kwenye address bar, copy url yote ya hiyo video, kisha i-paste kwenye textbox ya url kwenye youtube downloader. Kisha i-download, ikimaliza kudownload kuna pop up window, fuata maelekezo hapo. Software zengine watakujuza wadau wengine wanaozijua.
 
Atumie browser ya FIREFOX
 
kaka achana kabisa na freemake, imenifanya niiweke pembeni IDM kwenye kudownload Youtube videoz.
Its the best.Kwa sasa nina kila video ninayoitaka kutoka youtube tena katika format ninayoitaka.
 
Tumia save2my pc ni nyepesi mno kutumia hata crack zake ni rahisi mno
 
Ndio unaweza kudownload kwa kutumia internet download manager, lakini siku hizi pirated version zinachagua sana video format za kudownload, kama unayo ambayo ni genuine na iko up to date, internet download manager ni nzuri, au waweza tumia youtube download, nenda google, andika youtube downloader kisha idownload hiyo setup, ukimaliza, i-install, na kisha ifungue. Kudownload, fungua youtube kisha cheza video uitakayo, kwenye address bar, copy url yote ya hiyo video, kisha i-paste kwenye textbox ya url kwenye youtube downloader. Kisha i-download, ikimaliza kudownload kuna pop up window, fuata maelekezo hapo. Software zengine watakujuza wadau wengine wanaozijua.

Kwa utaratibu huu huu atumie software inaitwa "Keep vid"
 
Habari wana JF
Naomba msaada namna ya ku-download youtube downloader, nimejaribu ila nikitaka ku-install napewa ujumbe source file does not exist.
 
Sifahamu mkuu ndo mana naomba msaada nfanyeje

Download Winrar ili uweze ku-unzip...

AU FUATISHA MAELEKEZO HAYA MBADALA, hii ni kama unatumia Windows 7, kama ni Windows 8 ipo tofauti.

Do one of the following:

1. To extract a single file or folder, double-click the compressed folder to open it. Then, drag the file or folder from the compressed folder to a new location.

2. To extract the entire contents of the compressed folder, right-click the folder, click Extract All, and then follow the instructions.
 
Tafuta torch browser...ina youtube downloader na torrent downloader. ..yet ipo ka google chrome...hope itakusaidia
 
Habarin wataalam. naomba msaada wa jins ya kudownload internet videos kwenye sim tajwa mana applications ninazodownload hazinipi ushirikiano. asanten
 
Back
Top Bottom