Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Natumia Huawei 530 naomba kujua namna ya kupakua videos zilizo YouTube.
 
Download tubemate kutoka play store au google,ukishainstall utaweza kupakua mzgo bila tatizo lolote
 
Mh!!

naomba nimtambulishe kwako bwana mdogo anaitwa IDM

Au Internet downloader Manager...

Baada ya kuangaika kote kutumia software zote na link kibao kutaka nyimbo za youtube na mitandaon..
ni kakutana na hii kitu itakusaidia sana tena ina uwezo wa kugrab site nzima.
ina resume ina weza set speed na kadharika!!

http://rapidshare.com/files/381769204/IDM.5.19.2.rar

tangu niweke hii sijatafuta tena software nyingine, japo hata hizo walizo taja wakuu zote zafanya same thing.

cheers!!
Lakini IDM inafika kipindi kama 30days,haifanyi tena kazi mpaka ununue wakupe licence key,,lakini nzuri ajabu!
 
ninayo internet dowloder manager.ila siaui jinsi ya kuitumia.Kila ninapo jaribu yanatokea file kibao harafu kila linaloandika complete linanisumbua kwani ukifungua unakuta picha au mambo mengine ambayo siyahitaji.Nahitaji niambiwe jinsi ya kudownload youtube video kwa kutumia hiyo programu niliyonayo.

Ukishafungua youtube.Kama umestall IDM nakuiunanisha na firefox,unapoanza kuplay video tu.Kwa juu kwenye video kulia.Itakuja kama mesage DOWNLOAD THIS VIDEO,click hapo.Yanayoendea rahisi,malizia na bongo lako,
 
Kama unatumia mozila firefox tafuta addon inayoitwa flash video downloader unapoplay video kutoka website yoyote inakupa option ya kudownload kwa kutumia built in browser au kukopi link na kudownload na download manager nyingine yoyote
 
ninatumia tecno p5 huwa nikitaka kudownload wimbo you tube huwa sioni options ya kudownload. nisaidien nifanyeje?
 
mi najuaga u tube kwenye cm ni kwa kuangalia tu sijui lkn kma nipo sahihi
 
Download application inaitwa mobogenie. Itumie kupakua utube videos.
Thank me later
 
mabogenie si market kama playstore ??au kuna option yakudownload ndan yake
 
Back
Top Bottom