Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Mimi nilikuwa nafutilia huu uzi kwa makini nione lile neno bure likitumika...but kumbe ni software ya kudownload youtube videos...tofauti na hiyo free youtube downloader kuna software inaitwa IDM(internet download manager),its a very usefull software..nawashauri mjaribu pia na hii but you have to crack it kuitumia au kununua kama unauwezo
 
I think wengi wanaijua maana ni software maarufu ya kudownload vitu kuliko sofyware yoyote, ila sometimes uki icrack inakuwa haitokea youtube kukupa option ya kudownload
 
integration ya idm na chrome huwa inasumbua plus as you keep on updating your browsers unakuta extension compatibility inapotea solution inakuwa kuweka a latest release ya idm as unavyo update your browsers..ila mm naonaga idm kwa firefox haisumbui.
 
Mlolongo mrefu sana huu. Simply, tumia browsee inaitwa Torch. Ipo kama Chrome. Yenyewe kila ukifungua video inakupa option ya kuipakua. Kwenye simu, videoder haina mpinzani. Maisha haya yana mambo mengi milolongo mirefu inachosha.
Sure mkuu torch kwenye pc, videoder kwenye simu.
 
integration ya idm na chrome huwa inasumbua plus as you keep on updating your browsers unakuta extension compatibility inapotea solution inakuwa kuweka a latest release ya idm as unavyo update your browsers..ila mm naonaga idm kwa firefox haisumbui.
Mi inaenda fresh na chrome.
 
Mimi nilikuwa nafutilia huu uzi kwa makini nione lile neno bure likitumika...but kumbe ni software ya kudownload youtube videos...tofauti na hiyo free youtube downloader kuna software inaitwa IDM(internet download manager),its a very usefull software..nawashauri mjaribu pia na hii but you have to crack it kuitumia au kununua kama unauwezo

Software niliyotumia kwenye huu Uzi ni bure kama hujaona nimesema inaitwa "FREE you tube downloader"

FREE=BURE

au bure gani unamaanisha mkuu?
 
pierre tall
Mkuu labda uchek hapa me najua kuzitupia tu lkn kudownload check hapa you can get something
 
Wadau hivi ni format gani nzuri ambayo nikidownload videos naweza kuziplay kwenye TV zikaplay vizuri? maana ipo moja niliitumia ila nikiplay kwa TV quality inakuwa hovyo na inascratch sana?
 
Mp4 kuanzia resolution ya 480p au 720p na 1080p.
 
Habari wana jf.
Naomba kuelekezwa namna ya kupakua video za youtube bila kukopi URL yake.Nimeona kwenye PC ya mtu akifungua video ya youtube zinatokea alama (mishale) za kudownload video husika juu-kulia kwa page ya PC.Akitaka kudownload alikua anaclick mshale huo na video hupakuliwa kwa kasi.Naomba kuelekezwa maana jamaa kakataa kunielekeza namna ya kuweka option ya kudownload.
 
Back
Top Bottom