Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Pia clipconverter.cc nayo ipo poa tu.pliz you may add me,My pin 28F9BB46
 
android wemetoa IDM bt its nt bad kujua othr ways maana app za android zinacrush sumtym
thanx
geek_girl weka hayo maujanja ya Android ya kupakua mavituz watu tuanze kuumiza macho!
 
Last edited by a moderator:
Njia aliyokuonyesha Masuke ndio rahisi na isiyo na mizengwe kwani nimeitumia sana na hata jana nimepakua video ya Li-Pumba kwa njia hii.
Tena kwa kutumia hiyo keepvid ukishaifungua pale juu kulia kuna kabox unaka drag juu kwe browser yako (kama unatumia mozila kama mimi) na kuanzia hapo kila picha ya utube yoyote ukiitaka baada ya kuicheza unabonyeza tu pale ' keep it ' nayo inashusha bila mizengwe.
 
Last edited by a moderator:
Ni rahisi sana kuna apprication inaitwa tubemate ukiidownlod inakupa mambo yapo unapata video za kiwango utakacho
 
Kwa wale wa android kuna app moja mpya imeingizwa leo ipo safi sana, haina masherti.

Nenda Google play sachi "YouTube downloader" hutaijutia kamwe.
 
nawezaje ku download video na iwe kwenye format ya kucheza kwenye deck yangu naona nyng znagoma
 
Back
Top Bottom