Jinsi ya kupambana na ushoga kwa kutunga sheria kali zinazo zuia mavazi ya kike kuvaliwa na Wanaume na Wanaume kuigiza kama Wanawake

Meneja unazingua.
Kwamba watoto wataiga huko kuvaa kama mwanamke??
Yaani kisa joti anavaa kama demu basi na wanao wa kiume nao wataiga kisa joti anaigiza kavaa vile?
Hiyo familia itakua ni ya kupigwa mijeredi kabisa.
Wakati wasanii tu sahvi wanavaa kama wanawake na miziki yao inaingiliana na ushoga ushoga tu
Mwanaume katoboa pua kavaa hereni kitofuni,mguuni kavaa kikukuu msanii kapaka lipstik
Yaani vurugu mechi

Ova
 
Wakina Joti watapoteza kazi
 
Nimegundua watu wengi sana hawajui kabisa haya mambo ya Ushoga na mashoga. . Watu ambao ni Mashoga hata hawavai kama wanawake na wanafanya mambo yao kwa usiri mkubwa sana nadhani huwa wanawaangalia watu wanaopiga kelel then wanaxheka zao pembeni. Mashoga wa kweli huwezi hata kuwatambua, ni wanaume ambao hata hawana sura nzuri wala sio watanashati.

Ili kupambana na Hii vita nadhani imekaa kama kiroho hivi
 
Hatuwezi endelea kuharibu tamaduni zetu kwa kuwafuata watu wasioelewa mipaka ya maadili yetu. Sio Kosa lao wanatakiwa kuelimishwa lasivyo tutaingiziwa hadi mambo ya hovyo mpaka tuone aibu.
 
Huko zanzibar wanakopakkuana bila huruma kuna nani anavaa gauni na mwanaume?
 
Wewe unaonekana hujaelewa nilicho kiandika mkuu. Msanii wa kiume anaigizaje kama mwanamke alafu kesho anaigiza tena mwanaume. Watoto wetu watajifunza kumwiga.
 
Ahsante sana Mh. Waziri na mbunge tunataka sheria kali:
Your browser is not able to display this video.
 
Wewe unaonekana hujaelewa nilicho kiandika mkuu. Msanii wa kiume anaigizaje kama mwanamke alafu kesho anaigiza tena mwanaume. Watoto wetu watajifunza kumwiga.
Wewe ndio hujanielewa!

Huyu nani?

Hapo yuko kwenye kampeni za chama gani??

Yaani mmeshindwa kutokomeza mnayosema kuanzia chamani kwenu ndio mje nje halafu unasema sijaelewa ulichoandika??
 
Mashoga wa siku hz wanafuga MIDEVU kama Osama na wanabeba chuma/nondo kutunisha misuli! Mtawaondolea rizki kina joti wanaotuondolea stress kwa kuigiza Dada KIBOGA na ASHA NGEDERE, usanii wa kuigiza na ushoga havina uhusiano, mashoga wanajulikana na vituo vyao na hadi wanajiuza mitandaoni wakamatwe huko.
 
You have no right over a person's body,kama unaona ushoga ni tatizo kubwa jua pia ulevi,uvutaji bangi,uchangudoa ni matatizo makubwa ktk jamii na dini zote zinatambua ni dhambi,utaweka sheria ngapi?usidili na mashoga tu dili na wote,je patakalika? Uovu wa rangi zote ni uovu tu
 
Tanzania sio islamic state kutupangia nini cha kuvaa ,msituletee maadiri yenu fake, fundisha wanao wasijiingize kwenye ushoga, sio kuanza kuingilia maisha ya watu
 
Mapendekeza mazuri kabisa. Ila wasagaji nao tulenge nini cha muonekano kuwajua hadharani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…