Jinsi ya kupambana na ushoga kwa kutunga sheria kali zinazo zuia mavazi ya kike kuvaliwa na Wanaume na Wanaume kuigiza kama Wanawake

Jinsi ya kupambana na ushoga kwa kutunga sheria kali zinazo zuia mavazi ya kike kuvaliwa na Wanaume na Wanaume kuigiza kama Wanawake

Meneja unazingua.
Kwamba watoto wataiga huko kuvaa kama mwanamke??
Yaani kisa joti anavaa kama demu basi na wanao wa kiume nao wataiga kisa joti anaigiza kavaa vile?
Hiyo familia itakua ni ya kupigwa mijeredi kabisa.
Wakati wasanii tu sahvi wanavaa kama wanawake na miziki yao inaingiliana na ushoga ushoga tu
Mwanaume katoboa pua kavaa hereni kitofuni,mguuni kavaa kikukuu msanii kapaka lipstik
Yaani vurugu mechi

Ova
 
Nimegundua watu wengi sana hawajui kabisa haya mambo ya Ushoga na mashoga. . Watu ambao ni Mashoga hata hawavai kama wanawake na wanafanya mambo yao kwa usiri mkubwa sana nadhani huwa wanawaangalia watu wanaopiga kelel then wanaxheka zao pembeni. Mashoga wa kweli huwezi hata kuwatambua, ni wanaume ambao hata hawana sura nzuri wala sio watanashati.

Ili kupambana na Hii vita nadhani imekaa kama kiroho hivi
 
Hatuwezi endelea kuharibu tamaduni zetu kwa kuwafuata watu wasioelewa mipaka ya maadili yetu. Sio Kosa lao wanatakiwa kuelimishwa lasivyo tutaingiziwa hadi mambo ya hovyo mpaka tuone aibu.
 
Huko zanzibar wanakopakkuana bila huruma kuna nani anavaa gauni na mwanaume?
 
Wanalumumba mna vituko mpo tayari kuishi kwa kujitegemea au mnapiga kelele tu ?

Oneni mwenzenu mropokaji zero brain alirukwa mbali na waziri !

Usichokijua nchi imefungamana na international agreements nyingi ambazo kipo kipengele cha kuheshimu uhuru wa maoni na faragha za watu na haki zingine za binadamu sasa huko CCM huwa mnatoka mbele tu bila kukaa n kutafakari muanze kwanza kujitoa kwenye hiyo mikataba ya kimataifa ndio muanze sasa kupiga vita ushoga vinginevyo mtapata matamko na kuwekewa vikwazo vya kunyimwa mikopo mwisho mnarudi mezani kuomba.

Hiyo ilitokea enzi ya aliyejiita jiwe je huyu mama yenu muuza bandari ataweza kuzuia hao mnaowaita mashoga?

Mimi upande wangu naamini maadili huanzia kwenye familia ukishindwa kumuweka mwanao kwenye mstari nani aje akusaidie sasa?
View attachment 2994321
Wewe unaonekana hujaelewa nilicho kiandika mkuu. Msanii wa kiume anaigizaje kama mwanamke alafu kesho anaigiza tena mwanaume. Watoto wetu watajifunza kumwiga.
 
Ahsante sana Mh. Waziri na mbunge tunataka sheria kali:
 
Wewe unaonekana hujaelewa nilicho kiandika mkuu. Msanii wa kiume anaigizaje kama mwanamke alafu kesho anaigiza tena mwanaume. Watoto wetu watajifunza kumwiga.
Wewe ndio hujanielewa!

Huyu nani?

Hapo yuko kwenye kampeni za chama gani??

Yaani mmeshindwa kutokomeza mnayosema kuanzia chamani kwenu ndio mje nje halafu unasema sijaelewa ulichoandika??
F-4REfnXcAAogyA.jpg
 
Mashoga wa siku hz wanafuga MIDEVU kama Osama na wanabeba chuma/nondo kutunisha misuli! Mtawaondolea rizki kina joti wanaotuondolea stress kwa kuigiza Dada KIBOGA na ASHA NGEDERE, usanii wa kuigiza na ushoga havina uhusiano, mashoga wanajulikana na vituo vyao na hadi wanajiuza mitandaoni wakamatwe huko.
 
Mhe. Dr. Gwajima, Dkt. Gwajima D
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum

Mheshimiwa Waziri,

Kwa heshima na taadhima, ninakuletea maoni yangu kuhusu jinsi ya kupambana na suala la ushoga katika jamii yetu. Naamini kuwa moja ya njia muhimu za kukabiliana na tatizo hili ni kwa kutunga sheria kali zinazo zuia mavazi ya kike kuvaliwa na wanaume. Ushoga ni changamoto kubwa katika jamii yetu, na ni jukumu letu kuhakikisha tunalinda maadili na utamaduni wetu.

Pendekezo la Sheria Kali
Ninapendekeza kutungwa kwa sheria kali ambazo zitaelekeza yafuatayo:

1. Kuzuia Mavazi ya Kike Kuvaliwa na Wanaume:
  • Sheria itakayozuia wanaume kuvaa mavazi ya kike hadharani.
  • Adhabu kali kwa wanaume watakaokiuka sheria hii, ikijumuisha faini na kifungo.
  • Kuweka kifungu maalum kinachotambua kwamba mashoga wengi hutambuliwa kwa mwonekano wa mavazi.

2. Kuwajibisha Wasanii na Watu Maarufu:
  • Sheria kali dhidi ya wasanii wa muziki na filamu ambao wanachangia kuharibu maadili ya jamii yetu kwa kuvaa mavazi ya kike, hereni za kike, na kuigiza kama wanawake.
  • Adhabu kali kwa wasanii na watu maarufu wanaokiuka sheria hizi, ikijumuisha kufungiwa shughuli zao na kutozwa faini kubwa.

Mheshimiwa Waziri, kutunga sheria kali kama hizi ni hatua muhimu katika kulinda maadili na utamaduni wetu. Kupitia sheria hizi, tutaweza kupunguza matendo yanayoashiria ushoga na kurejesha maadili mema katika jamii yetu. Ni muhimu kuchukua hatua hizi sasa ili kulinda vizazi vijavyo na kuhakikisha kuwa tunadumisha utamaduni wetu safi na wenye heshima.

Na ikiwezekana hawa wasanii waanzishiwe somo la maadili ya mtanzania. Kabla hawajaanza kuimba au kuigiza wasome hilo somo kisha wapewe leseni ya muziki au kuigiza.

Pia mtu akitunga nyimbo yake au video yake kabla ya kuitoa kwa jamii ipitie BASATA kukaguliwa kikamilifu ndio itolewe.

Asante kwa kunisikiliza, na naomba maoni yangu yazingatiwe katika hotuba yako ya bajeti inayokuja.
You have no right over a person's body,kama unaona ushoga ni tatizo kubwa jua pia ulevi,uvutaji bangi,uchangudoa ni matatizo makubwa ktk jamii na dini zote zinatambua ni dhambi,utaweka sheria ngapi?usidili na mashoga tu dili na wote,je patakalika? Uovu wa rangi zote ni uovu tu
 
Tanzania sio islamic state kutupangia nini cha kuvaa ,msituletee maadiri yenu fake, fundisha wanao wasijiingize kwenye ushoga, sio kuanza kuingilia maisha ya watu
 
Mhe. Dr. Gwajima, Dkt. Gwajima D
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum

Mheshimiwa Waziri,

Kwa heshima na taadhima, ninakuletea maoni yangu kuhusu jinsi ya kupambana na suala la ushoga katika jamii yetu. Naamini kuwa moja ya njia muhimu za kukabiliana na tatizo hili ni kwa kutunga sheria kali zinazo zuia mavazi ya kike kuvaliwa na wanaume. Ushoga ni changamoto kubwa katika jamii yetu, na ni jukumu letu kuhakikisha tunalinda maadili na utamaduni wetu.

Pendekezo la Sheria Kali
Ninapendekeza kutungwa kwa sheria kali ambazo zitaelekeza yafuatayo:

1. Kuzuia Mavazi ya Kike Kuvaliwa na Wanaume:
- Sheria itakayozuia wanaume kuvaa mavazi ya kike hadharani.
- Adhabu kali kwa wanaume watakaokiuka sheria hii, ikijumuisha faini na kifungo.
- Kuweka kifungu maalum kinachotambua kwamba mashoga wengi hutambuliwa kwa mwonekano wa mavazi.

2. Kuwajibisha Wasanii na Watu Maarufu:
- Sheria kali dhidi ya wasanii wa muziki na filamu ambao wanachangia kuharibu maadili ya jamii yetu kwa kuvaa mavazi ya kike, hereni za kike, na kuigiza kama wanawake.
- Adhabu kali kwa wasanii na watu maarufu wanaokiuka sheria hizi, ikijumuisha kufungiwa shughuli zao na kutozwa faini kubwa.

Mheshimiwa Waziri, kutunga sheria kali kama hizi ni hatua muhimu katika kulinda maadili na utamaduni wetu. Kupitia sheria hizi, tutaweza kupunguza matendo yanayoashiria ushoga na kurejesha maadili mema katika jamii yetu. Ni muhimu kuchukua hatua hizi sasa ili kulinda vizazi vijavyo na kuhakikisha kuwa tunadumisha utamaduni wetu safi na wenye heshima.

Na ikiwezekana hawa wasanii waanzishiwe somo la maadili ya mtanzania. Kabla hawajaanza kuimba au kuigiza wasome hilo somo kisha wapewe leseni ya muziki au kuigiza.

Pia mtu akitunga nyimbo yake au video yake kabla ya kuitoa kwa jamii ipitie BASATA kukaguliwa kikamilifu ndio itolewe.

Asante kwa kunisikiliza, na naomba maoni yangu yazingatiwe katika hotuba yako ya bajeti inayokuja.
Mapendekeza mazuri kabisa. Ila wasagaji nao tulenge nini cha muonekano kuwajua hadharani.
 
Back
Top Bottom