Jinsi ya kupangalia chumba cha kulala kiwe na mvuto zaidi

Wengi wetu huku uswahili twaishi kwenye multipurpose rooms kwasabab tunalala, tunapikia, tunahifadhi vitu mbalimbali, tunalia chakula, tunapigia stories na tunafanyia nyingine humo huko!!
 
Reactions: bbc
hayo mambo ni huko kwenu upanga sijui mbezi beach. Sisi kwetu tandale chumba kina ndoo, majaba ya kutosha, jiko la gesi na mkaa, mswaki na ndoo la kuogea, na bodaboda yangu nailaza ndani yani kwa ufupi chumba changu kina kila kitu.
Hutaki maisha ya video?
 
Unalala ~STORE~

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…