Jinsi ya kupata GPA kali, kuepuka supplementary na jinsi ya kutodisco chuoni.

GPA ya 5??? kwanza chuo cha dodoma sidhani kama kina tendency ya ku-retain best students,but hopefully wataanza kipindi chenu. Muda mzuri wa kusoma ni kuanzia saa kumi usiku mpaka saa kumi na mbili asubuhi hivi sababu akili inakua imetulia bila mawazo wala stress coz ndio kwanza umetoka kuamka, pia mazingira yanakua yametulia kwa ujumla. dawa ni kukazana kusoma,na utajua kuwa unasoma the more unavyohisi kuwa mambo ni mengi. mara nyingi ukiona kitabu hakijabana basi ujue you are NOT doing your best!!the more unavyosoma the more unavyogundua kuwa kuna vitu vingi vya ku-cover and vice versa. ni vizuri kuwa na ndoto za hivyo mapema zitakusaidia ku-perform vizuri. dunia hii ya ushindani inawezafika siku hata kazi sehemu nyingine wakaangalia ufaulu wako kwanza then kuchanganua mengine, may be. panga ratiba from day one.hakikisha unaipitia topic aliyofundisha mwalimu siku hiyo(VIZURI) kwa kupitia notes zake na kusoma other references zinazohusika kila baada ya kipindi. soma kila unapopata muda but zaidi panga ratiba ya kulala mapema(by saa nne or tano) na kuamka saa kumi. hicho ndicho kimenisaidia kupata A average kwenye masters.
 

ccm na udom are two sides of a same coin.. bila shaka katiba ya chama ie ccm ipo kwenye silabasi yao hivyo ondoa shaka rejao!
 
Mdogo wangu kuhusu kucontrol boom hakuna siri yeyote ile. Suala ni kuwa na nidhamu na kutumia pesa. Ndio maana nikakuambia kuwa ukiwa chuoni ili uweze kuishi bila ya kuwa na stress ni kuhakikisha unakuwa na pesa ya kununua chakula na pesa ya kulipia malazi. Alafu pesa ya boom sio kuwa ni nyingi sana.
sifahamu kama health related fields wanakuwa wanapata motisha. Labda ningekuambia tu usije ukasikiliza watu wanakuambia nini. Alafu mambo mengi kwa sasa serikalini yamebadilika sana,na hii ni kwa sababu serikali haina pesa ya kutosha. Omba Mungu mkopo wako uwahi kufika,kwani mara nyingi uwa watu wengine wanacheleweshewa mikopo. Mimi kuna watu ninawajua mpaka mwaka wa masomo umeisha hawakupata pesa yote ya mkopo waliyostahili kupata.
Nakuombea kila heri.
 
safii;;;asante kwa mtoaji madaa nimejifunza kitu;;;;;damu ya yesu itulinde nakutuongoza tusipende kuiga tabia za watu wengine ambazo sio sahihi;;;;;;;;;;;;;;;;;
 
kaka ubarikiwe sana, inaelekea unajali sana familia yako tofauti na sisi tunaodanganya kua hatujapata mkopo kumbe tuna asilimia 100!!!!
 
soma sana simbi, pia discusion hudhuria sana kwa hayo utakuwa TA
 
safii;;;asante kwa mtoaji madaa nimejifunza kitu;;;;;damu ya yesu itulinde nakutuongoza tusipende kuiga tabia za watu wengine ambazo sio sahihi;;;;;;;;;;;;;;;;;

Kweli ndugu tuombe Mungu atusaidie sana tusije tukaiga tembo kunya tukapasuka msamba ila hiyo yesu inaandikwa hivi Yesu au YESU yaani begin with capital letter.
 
safii;;;asante kwa mtoaji madaa nimejifunza kitu;;;;;damu ya yesu itulinde nakutuongoza tusipende kuiga tabia za watu wengine ambazo sio sahihi;;;;;;;;;;;;;;;;;

Kweli ndugu tuombe Mungu atusaidie sana tusije tukaiga tembo kunya tukapasuka msamba ila hiyo yesu inaandikwa hivi Yesu au YESU yaani begin with capital letter. Ila ubarikiwe sana.
 

kusoma kuelewa kukesha mbwembwe
 
Ninachoelewa GPA kali ni juhudi na uelewa wa mtu,mengineyo ni extra.
 
Elewa masomo yako lakini pia ikibidi elewa walimu wako kitaaluma. Jifunze from other sources hasa mwanzo wa semester na andika summary ya kile usomacho.
 
Kwnza inabid umtangulize MUNGU mbele ktk masomo yako;piga msul kwa sana na jiepushe na makundi yasiyofaa.Mi ushaur wangu ndo huo!
 
hapo kwenye rad ndio wengi wanapokosea wanatafuta GPA na sio kuelewa wnachokisoma .
 

aiseee mkuu nitajarbu kuutumia ushaur wako
 

mkuu iv iz master za science ya communication wanataka uwe na GPA gan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…