Attache
Senior Member
- Jul 6, 2012
- 175
- 149
GPA ya 5??? kwanza chuo cha dodoma sidhani kama kina tendency ya ku-retain best students,but hopefully wataanza kipindi chenu. Muda mzuri wa kusoma ni kuanzia saa kumi usiku mpaka saa kumi na mbili asubuhi hivi sababu akili inakua imetulia bila mawazo wala stress coz ndio kwanza umetoka kuamka, pia mazingira yanakua yametulia kwa ujumla. dawa ni kukazana kusoma,na utajua kuwa unasoma the more unavyohisi kuwa mambo ni mengi. mara nyingi ukiona kitabu hakijabana basi ujue you are NOT doing your best!!the more unavyosoma the more unavyogundua kuwa kuna vitu vingi vya ku-cover and vice versa. ni vizuri kuwa na ndoto za hivyo mapema zitakusaidia ku-perform vizuri. dunia hii ya ushindani inawezafika siku hata kazi sehemu nyingine wakaangalia ufaulu wako kwanza then kuchanganua mengine, may be. panga ratiba from day one.hakikisha unaipitia topic aliyofundisha mwalimu siku hiyo(VIZURI) kwa kupitia notes zake na kusoma other references zinazohusika kila baada ya kipindi. soma kila unapopata muda but zaidi panga ratiba ya kulala mapema(by saa nne or tano) na kuamka saa kumi. hicho ndicho kimenisaidia kupata A average kwenye masters.