Jinsi ya kupata kazi za remote katika mashirika ya kimataifa yaliyo nje

Remember unaposema kijana wa chuo. Ana jaza nini kwenye CV. Will short courses proof a point in linkedin. Ambayo vijana walio wengi, kucover up short course wakina chuoni si jambo jepesi. Nadhani hii iswahusu sana wao. Tutapoteza nguvu ya thread yako.
 
Na wachoraji wanachukua?
Na wachoraji wanachukua?
 

Attachments

  • IMG_20240129_112108_281.jpg
    1.3 MB · Views: 29
Mkuu, mwanafunzi wa chuo anaweza kabisa kuwepo LinkedIn... Maana si unajua Cv ili ipendeze lazima iandaliwe? Na muda mzuri wa kuiandaa ni wakati mtu yupo chuo (volunteering, kuongeza skills, kujifunza mambo, etc).
Nakuonyesha mfano, cheki kwenye attachment, huyo dogo yupo chuo, anasoma MD yupo mwaka wa 4 Bugando, cheki attachment ya pili anapost shughuli zake za volunteering kupitia club yao ya chuo inayoitwa Planetary Health aliposhiriki kutoa elimu ya kuhusu kipindupindu sokoni sababu ya mlipuko wa kipindupindu. Hakuna muda mzuri zaidi wa kuiandaa Cv yako na kuifanya ipendeze kama ukiwa chuo, otherwise ndo ile unamaliza the only thing you have is your certificate, ambayo pia there are 5000+ graduates wenzako na wao wanayo hiyo hiyo certificate.
Sasa dogo kama huyu, akimaliza chuo kukosa kazi ni ngumu sana kwake na profile iliyoshiba hivi, na kupata kazi nzuri shirika la Kimataifa baada ya uzoefu wa miaka mitatu minne ni rahisi zaidi!!
Chance ndoto
 

Attachments

  • Screenshot_2024-02-01-22-07-14-900_com.linkedin.android.jpg
    190.5 KB · Views: 30
  • Screenshot_2024-02-01-22-07-29-616_com.linkedin.android.jpg
    247 KB · Views: 32
Huku mbali sana bro, kama ulifanikiwa kupitia huku, of which neither of your statements talked about volunteering and all that.
Hongera.

Na mimi acha niwafungulie code vijana, kuliko kupambana huko, waingie glassdoor kupata remote jobs mbele.
Ila kupata remote job marekani yaoasa uwe classified as an employee, kibongo waende Glassdoor linkedin utaconnect haswa na wajomba wa hapa hapa. Na kwa mbinde,
Linkedin ni nzuri kuresearch companies, jobs si sana, though ni nzuri kama connection zako una intergrate nao mara kwa mara. Maybe vinafasi vinatokea huko waweza pata.
 
Mimi sikupata hii code mapema, nilikuja kuigundua kwa kuchelewa sana,nikiwa nimeshamaliza chuo tayari. Ndio maana nawashtua vijana, hasa ambao bado wako chuo, wasiishie tu kula bata, huo ndo muda wao wa kuandaa Cv na kuji expose kwenye dunia ya professions through mitandao kama LinkedIn, Glassdoor huko etc.
Sikupingi pia kuhusu Glassdoor, na yenyewe ni platform nzuri tu, though sijaitaja hapa sababu huwa naona kazi nyingi zinazotangazwa huko sio za remote, ambayo ndo ilikua target kuu ya uzi wangu!!
Otherwise, tuko pamoja mkuu!!
 
Huko ulikoelezea wewe ndio mbali bro, glassdoor kazi zao 90% sio remote kama zipo weka link hapa tuone
 
Huko ulikoelezea wewe ndio mbali bro, glassdoor kazi zao 90% sio remote kama zipo weka link hapa tuone
Ndugu, sishindani, naelekeza from experience. Huwezi fananisha glassdoor na linkedin plus a CV ya canvas. Only if you have exposure utaelewa nachoandika kama si hvo. Utataka nikascreenshot sijui huko glassdoor, sitoweza hilo, ila hilo nililoeleza lishike. Na toa hyo 90% yako.
Plus niliadd kitu hapo kupata remote, lazma uwe classified as employee marekani,ndio uongee na boss wako. Sijui unaelewa ndugu. Sijui umeelewa?
 
To add up, huyu jamaa siku kadhaa nyuma, alikuja kapata kazi. A job in us doesn't come with options, za kufanya remote or else. Ila ni negotiations au bahati mtu aje, chukua kazi ipo marekani ila unaweza fanya hata bongo.
 
Tunabadilishana mawazo na uzoefu tu mkuu, kwa nia ya kutanuana mawazo, sio ubishani mkuu wangu!!
Nimekuelewa kuhusu kazi za Glassdoor za remote, kuwa hadi lazima uwe na vibali vya ku work USA, right?
Sasa hapa target ni zile kazi ambazo unaweza fanya remote ukiwa poppte duniani, sio lazima uwe USA, na wala sio lazima uwe na work permit ya USA mkuu. Mfano ni mimi mwenyewe, nafanya kazi remote na organization HQ yao iko USA, ila mimi nafanyia huku huku bongo na wala sina vibali vya kuwork in USA. And that was the condition tangu mwanzo, kuwa hiyo position you can be based from anywhere!
So, hizo links nilizo share hapo kwenye my first post zina kazi nyingi za hivyo mkuu tofauti na za Glassdoor ambazo hadi uwe classified as employee in the USA!!
Karibu utufungue macho zaidi mkuu kama kuna kitu hatuelewi kuhusu kazi za Glassdoor!
Chance ndoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…