Jinsi ya kupata kazi za remote katika mashirika ya kimataifa yaliyo nje

Bongo kuna vijana mnajitambua..shida wanasumbuliwa na uchawa wa CCM…hahahahh
 
Nipo LinkedIn kitambo tu ila. Sasa dah hata nyota 3 sina
Vingn mpk uanze kulipia sasa hela yenyew sina kuipata premium
 
Nipo LinkedIn kitambo tu ila. Sasa dah hata nyota 3 sina
Vingn mpk uanze kulipia sasa hela yenyew sina kuipata premium
Haujataka tu au haujajua jinsi ya kuwa na a complete, 5 star profile bila kulipia. Mimi nina a very complete (5 stars), and a very active (huwa lazima kila wiki nipost angalau mara 3) LinkedIn account, na sijawahi kulipia hiyo premium hata mara moja, natumia version ya free siku zote. Exformer
 
Mkuu kuwa mmarekani sio kuwa extraordinary.. Kazi alizoongelea mtoa post kichwani lazima uwe mkali kinoma...

Mimi nawajua washkaji kibao ambao wamefanya kazi remotely kwa makampuni ya marekani especially coding.... Labda nkuulize kidogo unaijua Turing,Andela au Tunga?
 
Atasema hizo kampuni ulizozitaja ni feki, unataka kumtapeli
 
Hivi ni skills gani zinauzika sana ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…