Jinsi ya kupiga kura: Kwa watumiaji wa simu

Mzee

Platinum Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
13,620
Reaction score
5,868
Habari zenu Wana CC???

Kwa kutumiaJF app ama JF
mobile version haikubali kupiga kupiga kura kwakuwa ike poll haisapoti.
Tumia Desktop version

Hatua:
1. Fungu JF kwa kutumia
browser ( Usitumia JF app)

2. Panda juu kwenye kitufe
kilichoandikwa TOUCH.
Kibofye.

3. Itakuletea muonekano
mwingine, shuka chini
mwisho kabisa. Chagua Full site.

4. Itakuletea Desktop
version, Sasa fungua topic
husika upige kura.

5. Chagua kibox kimojawapo pale, kibofye

6. Shuka chini kidogo sehemu iliyoandikwa Vote Now kisha bofy.

Kama kuna tatizo tujulishane.

NB;
Samahani kwa uandishi mbovu, mimi si mtaalamu sana wa kuelekeza kwa maandishi.

Asanteni sana.
 
Ahsante... kweli wewe umezoea kuelekeza kwa makonzi na mateke...
 
Mwenyekiti Baba V. Kuelekeza kwa maandishi ni kipaji aisee.

Nadhani ujumbe umefika kimtindo. Nenda ukapige kura
 
Last edited by a moderator:

Asante sana Mzee nimefuata maelekezo nimepiga kura yangu asante sana,unajua sie tunaotumia simu tulikuwa tunakosa haki yetu ya msingi ya kupiga kura!Asante kwa maelekezo
 
sungura1980
Nashukuru sana kama umefanikiwa.

Wajuze na wenzako.
 
Last edited by a moderator:
Asante sana Mzee nimefuata maelekezo nimepiga kura yangu asante sana,unajua sie tunaotumia simu tulikuwa tunakosa haki yetu ya msingi ya kupiga kura!Asante kwa maelekezo

umeona eeh! Yani tulitengwaje? Ngoja nami nijaribu!
 
Last edited by a moderator:
Aisee nilikuwa nsakasirika kura yangu kupotea! Haya ngoja niende kituoni sasa!!
 
Habari zenu Wana CC???

Kwa kutumiaJF app ama JF
mobile version haikubali kupiga kupiga kura kwakuwa ike poll haisapoti.
Tumia Desktop version

Hatua:
1. Fungu JF kwa kutumia
browser ( Usitumia JF app)

2. Panda juu kwenye kitufe
kilichoandikwa TOUCH.
Kibofye.

3. Itakuletea muonekano
mwingine, shuka chini
mwisho kabisa. Chagua Full site.

4. Itakuletea Desktop
version, Sasa fungua topic
husika upige kura.

5. Chagua kibox kimojawapo pale, kibofye

6. Shuka chini kidogo sehemu iliyoandikwa Vote Now kisha bofy.

Kama kuna tatizo tujulishane.

NB;
Samahani kwa uandishi mbovu, mimi si mtaalamu sana wa kuelekeza kwa maandishi.

Asanteni sana.

Umeeleweka Mkubwa , utalaamu wako ulipobobea tunaujua! Ingekua ktk mambo ya kuwasaula vyupi , ungetoa subject nzuri na ya kiufundi kuliko hii.
 
Back
Top Bottom