Jinsi ya kupiga kura: Kwa watumiaji wa simu

Jinsi ya kupiga kura: Kwa watumiaji wa simu

Umeeleweka Mkubwa , utalaamu wako ulipobobea tunaujua! Ingekua ktk mambo ya kuwasaula vyupi , ungetoa subject nzuri na ya kiufundi kuliko hii.


Nitake radhi. Huku nina wajukuu.

Nitakuotesha mshipa.
 
Habari zenu Wana CC???

Kwa kutumiaJF app ama JF
mobile version haikubali kupiga kupiga kura kwakuwa ike poll haisapoti.
Tumia Desktop version

Hatua:
1. Fungu JF kwa kutumia
browser ( Usitumia JF app)

2. Panda juu kwenye kitufe
kilichoandikwa TOUCH.
Kibofye.

3. Itakuletea muonekano
mwingine, shuka chini
mwisho kabisa. Chagua Full site.

4. Itakuletea Desktop
version, Sasa fungua topic
husika upige kura.

5. Chagua kibox kimojawapo pale, kibofye

6. Shuka chini kidogo sehemu iliyoandikwa Vote Now kisha bofy.

Kama kuna tatizo tujulishane.

NB;
Samahani kwa uandishi mbovu, mimi si mtaalamu sana wa kuelekeza kwa maandishi.

Asanteni sana.

Bwana wewe topic husika ndo ipi? Mana mm tayari nshafika apo kwenye desktop version
 
Kumbuka,kura ni siri yako

Wabheja sana ngosha make hapa napigaga kura kama tatu zote.
 
Back
Top Bottom