Habari zenu Wana CC???
Kwa kutumiaJF app ama JF
mobile version haikubali kupiga kupiga kura kwakuwa ike poll haisapoti.
Tumia Desktop version
Hatua:
1. Fungu JF kwa kutumia
browser ( Usitumia JF app)
2. Panda juu kwenye kitufe
kilichoandikwa TOUCH.
Kibofye.
3. Itakuletea muonekano
mwingine, shuka chini
mwisho kabisa. Chagua Full site.
4. Itakuletea Desktop
version, Sasa fungua topic
husika upige kura.
5. Chagua kibox kimojawapo pale, kibofye
6. Shuka chini kidogo sehemu iliyoandikwa Vote Now kisha bofy.
Kama kuna tatizo tujulishane.
NB;
Samahani kwa uandishi mbovu, mimi si mtaalamu sana wa kuelekeza kwa maandishi.
Asanteni sana.
Asante sana Mzee nimefuata maelekezo nimepiga kura yangu asante sana,unajua sie tunaotumia simu tulikuwa tunakosa haki yetu ya msingi ya kupiga kura!Asante kwa maelekezo
Haya ngoja tujaribu