Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weekend ukuje tupike vyakula premium hz birian za jf ni mpaka ijumaaa mchanaMpishi anatupeleka mbio mbio wakat anajua sie la Saba C😀😀😀
Aisee nitakuja mie hata niwe mgeni usininyime kukaa jikoni naweza nikaumwa😀😀mambo ya choma choma ndo niyapendayoWeekend ukuje tupike vyakula premium hz birian za jf ni mpaka ijumaaa mchana
Kila kitu kitakuepo na jikoni utaingia... ukimaliza uzuge kuombea msosi na wakati ukiwa mwenyewe huombeagiAisee nitakuja mie hata niwe mgeni usininyime kukaa jikoni naweza nikaumwa😀😀mambo ya choma choma ndo niyapendayo
Leta hiyo kisamvu mamiloo😂Sitaki hayo mambo nime koma kuongea sana mie
Thanks.Pole
Kilikukumba nini, kwani kula kisamvu kuna shida? Hata uyoga nakulaWatafuta kuzua jambo maana hujuwi kilicho nikumba naogopa 🤐
Sasa si dili hilo, kanunue uwapikie au wanataka ile kisavu ingine? 😂Nimefatwa Mp watu wanataka kisamvu yaani kumbe niliropoka tuu.
AsanteHongera sana👌🥰