Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Nisha jaribu hivyo🤓, nikaona niaje unguza mwiko wangu wa asili🤣Ila mbona wanasema husipo vaa nguo chakula chawa kitamu 🤭
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nisha jaribu hivyo🤓, nikaona niaje unguza mwiko wangu wa asili🤣Ila mbona wanasema husipo vaa nguo chakula chawa kitamu 🤭
And it depends mpishi wa jinsia gani 🤔, asije kuwa msela. Ndo maana Jamaa ana ona hivyo🤣Ila mbona wanasema husipo vaa nguo chakula chawa kitamu 🤭
Haki ya mungu Intelligent businessman nimecheka 😂😂😂Nisha jaribu hivyo🤓, nikaona niaje unguza mwiko wangu wa asili🤣
Vijana mnamawazo ya ajabu, Shemeji yako ananisaidia kupika kwa video call .😅Swaga za kizamani,🤓, haiombwi hivyo siku hizi🤔.
Guess am your teacher in this 🤓
Ile moment una geuza vitunguu kwenye mafuta, dah mwiko namna gani pale 🤓😂.Haki ya mungu Intelligent businessman nimecheka 😂😂😂
Shemeji mwenyewe ni huyu😂🤓Vijana mnamawazo ya ajabu, Shemeji yako ananisaidia kupika kwa video call .😅
Uneshindwa wapi jamniAhsante lakini nimeshindwa kabisa rafiki.
Usipokuja tanunua vyakula mpaka ujitokeze....mi najua kupika ugali na wali tu 😄mengn unanionea tuRangi ni colour food wanaita wengine huweka kwenye barafu(ice cream)
Mchele ni basmati
Kabla hujaweka km mtoa mada alivoeleza hakikisha unakaanga vitunguu maji pembeni Hadi viw brown Kisha viweke pembeni
Viungo ni vingi kama huelew
Nunua birian masala Inakuwa na kilakitu tayari
Mpaji Mungu upike na wewe
Intelligent businessman maelekezo hayo ongezea na ya mtoa mada
Kupata baadhi ya vitu pia kuna msaada nilikuwa nategemea kupata so binti kaenda kucheza rede nikabaki nalamba picha za biryan mtandaoni.Uneshindwa wapi jamni
Lies lies lies, these are all lies 🤓😂Kupata baadhi ya vitu pia kuna msaada nilikuwa nategemea kupata so binti kaenda kucheza rede nikabaki nalamba picha za biryan mtandaoni.
PoleKupata baadhi ya vitu pia kuna msaada nilikuwa nategemea kupata so binti kaenda kucheza rede nikabaki nalamba picha za biryan mtandaoni.
Kijana,shida nini?😅Lies lies lies, these are all lies 🤓😂
Una jisumbua tu😂, Hilo ni fisadi lililo zeeka.Pole
Nunua mchele basmati
Birian masala
Vitunguu maji vikubwa vitatu
Food coulor
Tangawizi
Nyama
Viazi mbatata
Plain Yogurt
Kitunguu saumu
Mafuta ya kula
Nyanya na tomato paste ukiwa tayar Rudi hapa tupike
Shukrani sana,masaa 8-9 kuanzia sasa nitarudi kuhitaji msaada nikikwama.Pole
Nunua mchele basmati
Birian masala
Vitunguu maji vikubwa vitatu
Food coulor
Tangawizi
Nyama
Viazi mbatata
Plain Yogurt
Kitunguu saumu
Mafuta ya kula
Nyanya na tomato paste ukiwa tayar Rudi hapa tupike
Sawa karibuShukrani sana,masaa 8-9 kuanzia sasa nitarudi kuhitaji msaada nikikwama.
Jichanganye ujute😂🤣🤣🤣 Sawa usijali
Shida swaga zako za kizee😆😆Sawa ,msaada mmeshindwa kunipa unaanza kuona wivu.