Jinsi ya kupika biriani ya kawaida

Usipokuja tanunua vyakula mpaka ujitokeze....mi najua kupika ugali na wali tu 😄mengn unanionea tu
 
Kupata baadhi ya vitu pia kuna msaada nilikuwa nategemea kupata so binti kaenda kucheza rede nikabaki nalamba picha za biryan mtandaoni.
Pole
Nunua mchele basmati
Birian masala
Vitunguu maji vikubwa vitatu
Food coulor
Tangawizi
Nyama
Viazi mbatata
Plain Yogurt
Kitunguu saumu
Mafuta ya kula
Nyanya na tomato paste ukiwa tayar Rudi hapa tupike
 
Pole
Nunua mchele basmati
Birian masala
Vitunguu maji vikubwa vitatu
Food coulor
Tangawizi
Nyama
Viazi mbatata
Plain Yogurt
Kitunguu saumu
Mafuta ya kula
Nyanya na tomato paste ukiwa tayar Rudi hapa tupike
Una jisumbua tu😂, Hilo ni fisadi lililo zeeka.
Kaka angu Zulu man namjua ana mapengo tu🤓, wake uji was mchele
 
Pole
Nunua mchele basmati
Birian masala
Vitunguu maji vikubwa vitatu
Food coulor
Tangawizi
Nyama
Viazi mbatata
Plain Yogurt
Kitunguu saumu
Mafuta ya kula
Nyanya na tomato paste ukiwa tayar Rudi hapa tupike
Shukrani sana,masaa 8-9 kuanzia sasa nitarudi kuhitaji msaada nikikwama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…