Jinsi ya kupika biriani ya kawaida

Jinsi ya kupika biriani ya kawaida

Mambele sijaishi ila nahis nikienda ntapata ugumu kwenye kupata totoz za kuruka nazo lkn mengine yote bongo bahati mbaya
Arusha nili enda Mara 2 tu, ni kuatmaubkiasi chake.

Mwanza ndo 🔥🔥🔥, mbele mambo mengi mno🤓🤣.
Dollar 50000, una pata nyumba ya mbao, bongo ni jumba Hilo 🤣😄
 
Habari, natumaini nyote mko poa
Leo tutajifunza simple biriani waweza pika mahala popote.

Moja kwa moja niingie jikoni

MAANDALIZI.
kitunguu thoumu
Tangawizi
pilipili manga ya unga
binzari nyembamba
Abdala sinni
chumvi
Nyama mbichi
Maziwa
Tomato past
Karoti
Nyanya ya kawaida

wazichanganya kwenye sufuria moja then watia jikoni

Kisha wapika wali ambao watia rangi mbili,

Viazi watia rangi,chumvi kisha wakaanga

Kitunguu maji wakaanga halafu wachanganya kwenye mchuzi wako.

Mpaka hapo biriani liko tayari kuliwa.
Abdallah Sinni Kwakweli leo nimejifunza kitu
 
Labda tukuulize experience yako ya kula biriani umeipata wapi? Usije ukawa unapikiwa wali rosti na Manka halafu unaambiwa ni biriani?

Nilinunua kwa wapemba ,wakaweka na mayai mawili ,mchuzi wa nyama na nyama ,mchele pishori na marangi rangi...Nikaja kula tena mara ya pili ilikuwa offer nayo sijailewa kivile.

Mimi napenda Wali nazi au Pilau Simple la nazi/Nyanya.
 
Back
Top Bottom