Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,746
shemeji uwe unatoa order kwangu.....Zoezi gumu kwangu ni kukanda unga na kusukuma. Mara nyingi huwa zinakuwa ngumu na shapeless. Uamuzi wa mwisho ni chapati za maji tu(kumimina).
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
shemeji uwe unatoa order kwangu.....Zoezi gumu kwangu ni kukanda unga na kusukuma. Mara nyingi huwa zinakuwa ngumu na shapeless. Uamuzi wa mwisho ni chapati za maji tu(kumimina).
Zoezi gumu kwangu ni kukanda unga na kusukuma. Mara nyingi huwa zinakuwa ngumu na shapeless. Uamuzi wa mwisho ni chapati za maji tu(kumimina).
we shukuru tu kabla haujaztia kikaaongozi uone zinavokakamaa kama ngozi ya goti, mimi nimefuata process zote zaidi ya mara tano lakini wapi, tia yai wapi, nikasema labda nitie kiini tu lakini wapi, next time labda nitajaribu kutia mchuzi wa bamia huenda zikawa laini!
farkhina nazisukuma kabisa ndo natia kwenye friji au naweka zikifika hatua gani?kwenye freezer panafaa au baridi ya wastani inatosha?
siku nyingine ule na supu ya kuku/nyama/samaki au maharage......
Practice makes perfect.....
jaribu tena na tena mwisho utafanikiwa.
Hahahahha umenchekesha hiyo itakua chapati bamia
Practice makes perfect.....
jaribu tena na tena mwisho utafanikiwa.
Hizi chapati shapeless zinanikumbusha chapati za Evelyn Salt lol!! Yeye anasema zake ni tamu sana ila kutengeneza zenye shape kawaachia mamodel.
za maji hamna kitu kaka, kitu cha kukanda na rost ya maini!
shemeji uwe unatoa order kwangu.....
Hahahaaa, huyo mwanao?!
Hahahaaa, huyo mwanao?!
Kama wa kwake anigaie mie nimenpenda cuteee utamu wa chakula anaruka ruka kinapenda kula kama mie lol
Unapenda cute babies eeh!!!! Nahisi huyo wa kwako atakuwa ni moto wa kuotea mbali 🙂🙂 mkono wa haja kama mama yake. Itabidi utafute bastola na kufuga mbwa ili waharibifu wasisogelee nyumbani kwako 🙂🙂
Hapana banaaa nilikuwa nashangaa mtandaoni ndio nikakutana na huyu binti akiufurahia msosi nikakumbuka na comment ya Fixed Point basi nikaamua kuiweka hapa.
Shoga niwekee ya unga nusu nijaribu.
Maana mie chapati majangaz!!!!
Hizi chapati shapeless zinanikumbusha chapati za Evelyn Salt lol!! Yeye anasema zake ni tamu sana ila kutengeneza zenye shape kawaachia mamodel.
nshachukua notes hapa, ha ha ha nasikiaga noma we acha tu
ndo unikute naagiza kwa mbwembwe lete mayai, lete maziwa
nikikaanga chapati shape mbaya, ngumu kama jiwe
dah baby huwa ananichamba he he he
nshachukua notes hapa, ha ha ha nasikiaga noma we acha tu
ndo unikute naagiza kwa mbwembwe lete mayai, lete maziwa
nikikaanga chapati shape mbaya, ngumu kama jiwe
dah baby huwa ananichamba he he he