Jinsi ya kupika chapati laini na zenye ladha nzuri

Jinsi ya kupika chapati laini na zenye ladha nzuri

Hizi chapati shapeless zinanikumbusha chapati za Evelyn Salt lol!! Yeye anasema zake ni tamu sana ila kutengeneza zenye shape kawaachia mamodel.

Zoezi gumu kwangu ni kukanda unga na kusukuma. Mara nyingi huwa zinakuwa ngumu na shapeless. Uamuzi wa mwisho ni chapati za maji tu(kumimina).
 
Last edited by a moderator:
we shukuru tu kabla haujaztia kikaaongozi uone zinavokakamaa kama ngozi ya goti, mimi nimefuata process zote zaidi ya mara tano lakini wapi, tia yai wapi, nikasema labda nitie kiini tu lakini wapi, next time labda nitajaribu kutia mchuzi wa bamia huenda zikawa laini!

Hahahahha umenchekesha hiyo itakua chapati bamia
 
farkhina nazisukuma kabisa ndo natia kwenye friji au naweka zikifika hatua gani?kwenye freezer panafaa au baridi ya wastani inatosha?

No husukumi kabisa. Weka kwenye freezer siku ukitaka kupita toa acha iyayukr wenyewe
 
Last edited by a moderator:
14217681.gif

Practice makes perfect.....
jaribu tena na tena mwisho utafanikiwa.
 
Hizi chapati shapeless zinanikumbusha chapati za Evelyn Salt lol!! Yeye anasema zake ni tamu sana ila kutengeneza zenye shape kawaachia mamodel.

Hahahaha zile za eve ni triangle chapati
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Unapenda cute babies eeh!!!! Nahisi huyo wa kwako atakuwa ni moto wa kuotea mbali 🙂🙂 mkono wa haja kama mama yake. Itabidi utafute bastola na kufuga mbwa ili waharibifu wasisogelee nyumbani kwako 🙂🙂

Kama wa kwake anigaie mie nimenpenda cuteee utamu wa chakula anaruka ruka kinapenda kula kama mie lol
 
Unapenda cute babies eeh!!!! Nahisi huyo wa kwako atakuwa ni moto wa kuotea mbali 🙂🙂 mkono wa haja kama mama yake. Itabidi utafute bastola na kufuga mbwa ili waharibifu wasisogelee nyumbani kwako 🙂🙂

Wajua watoto wote wa cute sema wanazidiana ingekua wanauzwa watoto naona ningekua nao hata 10 ila ile shuhuli si mchezo maumivu sijasahau bado lol
 
Hizi chapati shapeless zinanikumbusha chapati za Evelyn Salt lol!! Yeye anasema zake ni tamu sana ila kutengeneza zenye shape kawaachia mamodel.

nshachukua notes hapa, ha ha ha nasikiaga noma we acha tu
ndo unikute naagiza kwa mbwembwe lete mayai, lete maziwa
nikikaanga chapati shape mbaya, ngumu kama jiwe
dah baby huwa ananichamba he he he
 
  • Thanks
Reactions: BAK
nshachukua notes hapa, ha ha ha nasikiaga noma we acha tu
ndo unikute naagiza kwa mbwembwe lete mayai, lete maziwa
nikikaanga chapati shape mbaya, ngumu kama jiwe
dah baby huwa ananichamba he he he

kwa nots tu umechemsha bora mwambie farkhina aje akupe darasa la vitendo kwa wiki nzima
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha lol!!!! Msome tena farkhina ambaye amesema kanda kwa kutumia maji baridi ya kutoka ndani ya fridge, mwishowe zitakuwa bomba tu kama za farkhina hata mduara utauweza 🙂🙂

Back
Top Bottom