Jinsi ya kupika chapati laini na zenye ladha nzuri

Jinsi ya kupika chapati laini na zenye ladha nzuri

Habari wana jamvi mm naomba kuelekezwa jinsi ya kupika chapati za kusukuma ziwe laini na tamu naomba nielekezwe kuanzia mixing mpaka kukanda kusukuma na kuchoma inatakiwa kufata procedure gan

Sent using Jamii Forums mobile app
unataka za kuuza au za kula home ,na kuuza ni bei gani utauza.? kwasababu mapishi ya chapati yapo ya aina nyingi,chapati za samli (ghee),za nazi,za butter,za maziwa,za nyama,za sukari,za chumvi n.k
 
Wewe hata mchicha utakuwa huwezi pika, wakisha kuelekeza namna yakupika chapati waombe wakufundishe namna yakupika mchicha pia, ...
 
Bora wewe umeomba msaada. Kuna akina mama hapa mtaani hawajui kabisa kuzipika. Ukinunua ule muda huohuo ukikaa robo SAA tu zishakuwa jiwe
 
unataka za kuuza au za kula home ,na kuuza ni bei gani utauza.? kwasababu mapishi ya chapati yapo ya aina nyingi,chapati za samli (ghee),za nazi,za butter,za maziwa,za nyama,za sukari,za chumvi n.k
Kumbe mnatufanyiaga makusudi kutuuzia chapati transparent ukiangalia unaona upande mwingine? [emoji37] [emoji37]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom