😀😀😀Hukuzipiga picha nione.Ni kweli,kupika chapati,mandazi na vitu vya ngano ni mtihani mgumu sana
Juzi jumamosi nilisema nijaribu kupikia chapati nyumbani nikakandia maziwa,blueband nimeweka lakini chapati zilivyotokea sasa!!!nikaamini kupika chapati is not my thing
😀😀😀Hukuzipiga picha nione.
Ila me za kumimina kiukweli huwa hazinisumbui. Yaani nazipatia hata kuzigeuza nafanyaga kwa kuzirusha tu.
😀😀😀 Si ajabu hata kuzisukumu tu zilitoka zina mapembe.Nilipanga zikitokea vizuri nizipige picha nipost kwa status kule WhatsApp lakini kilichotokea ni aibu tupu 😁
Hizo za kumimina sijajaribu kuzipika lakini nilishakula mara kadhaa hazikunivutia
😀😀😀 Si ajabu hata kuzisukumu tu zilitoka zina mapembe.
Nacheka maana umenikumbusha niliwahi pikiwa chapati hizo kau kau halafu + zina mapembe. Hazieleweki nyingine pembe tatu, nyingine imekaa trapezium
Hii kitu si wote wanaiwezaga. Sijui ndio kuna ile dhana labda mkono na mkono wa mtu mwingine zinamkataa tu labda.Nilisukuma vizuri zilikuwa round bila kona kona
Tatizo ni ule ugumu asa sijui nilikosea wapi akati nilikua naweka katika hotpot
Labda hukukanda vizuri,au unga ulikua mgumu.Pia kama moto ulikua mdogo sana zikakauka.Sababu nyingine yaweza kua ulivokanda unga hukuacha kidogo ziumuke.Nilisukuma vizuri zilikuwa round bila kona kona
Tatizo ni ule ugumu asa sijui nilikosea wapi akati nilikua naweka katika hotpot
Kanda unga uwe laini, wakati wa kupaka mafuta ili ukunje tumia KIMBO, kisha ziache kwa dk 20 mpaka 30. Ndo uanze kusukuma dear!Ni kweli,kupika chapati,mandazi na vitu vya ngano ni mtihani mgumu sana
Juzi jumamosi nilisema nijaribu kupikia chapati nyumbani nikakandia maziwa,blueband nimeweka lakini chapati zilivyotokea sasa!!!nikaamini kupika chapati is not my thing
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji3][emoji3] Si ajabu hata kuzisukumu tu zilitoka zina mapembe.
Nacheka maana umenikumbusha niliwahi pikiwa chapati hizo kau kau halafu + zina mapembe. Hazieleweki nyingine pembe tatu, nyingine imekaa trapezium
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi nimeanza zipika nikiwa std 5.. saivi napika nauza
Unalipa mahari Mil.5, halafu mke anakupikia chapati ngumu kuliko maisha yako.!!
Leo nimepika chapati[emoji3][emoji3][emoji3] kilichotokea Mungu anajua
Haha.!!Damu zitarukaa
Kweli itabidi ukule tuu!![emoji1787][emoji1787][emoji1787] siku hiyo nimerudi shule nakuta bibie kanipikia chapati. Daah ilibidi nile tu kumtia moyo. Maana mtu kajitoa kwa ajili yako halafu zikushinde angejisikia vibaya.
Kuna zile zinavunjikaga kama ule mkate wa kwenye video ya Yesu!Unalipa mahari Mil.5, halafu mke anakupikia chapati ngumu kuliko maisha yako.!!
Zimevunjika ka mkate wa kwenye video ya Yesu [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]Leo nimepika chapati[emoji3][emoji3][emoji3] kilichotokea Mungu anajua
Hahhaahahaa!!Kuna zile zinavunjikaga kama ule mkate wa kwenye video ya Yesu!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni kweli,kupika chapati,mandazi na vitu vya ngano ni mtihani mgumu sana
Juzi jumamosi nilisema nijaribu kupikia chapati nyumbani nikakandia maziwa,blueband nimeweka lakini chapati zilivyotokea sasa!!!nikaamini kupika chapati is not my thing