Za kumimina huwa hazipendwi na wengi kama za kusukuma. Ila ndio shughuli yake sio mchezo[emoji134]Nilipanga zikitokea vizuri nizipige picha nipost kwa status kule WhatsApp lakini kilichotokea ni aibu tupu [emoji16]
Hizo za kumimina sijajaribu kuzipika lakini nilishakula mara kadhaa hazikunivutia
Tatizo linaanzia kwenye ukandaji, then wakati wa kuzipika Moto usiwe mdogo Sana.Nilisukuma vizuri zilikuwa round bila kona kona
Tatizo ni ule ugumu asa sijui nilikosea wapi akati nilikua naweka katika hotpot
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Leo nimepika chapati[emoji3][emoji3][emoji3] kilichotokea Mungu anajua
We cheka tuu dearHahhaahahaa!!
You've made me happy kwakweli!!
Hatari sana mdogo wanguZimevunjika ka mkate wa kwenye video ya Yesu [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Nitakuja unifundishe mwenza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pole sana jamani dada!!Hatari sana mdogo wangu
Ahsante, mara nyingi huwa zinavunjika ila za leo zinakunjika lakini ngumuuuPole sana jamani dada!!
Sasa mimi bora kupika chapati kuliko ugali
Leo nimepika chapati[emoji3][emoji3][emoji3] kilichotokea Mungu anajua
Njoo mwenza, hata mimi zilinisumbua Sana. Alikuja kunifundisha msichana wetu wa kazi, alifanyaga kazi kwa wahindi. Alikuwa anapika chapati yule binti acha kabisa, sijawahi kula chapati tamu Kama zile tena.Nitakuja unifundishe mwenza
Weeeh!! Bora ugali jamani. Chapati Zina kazi.Pole sana jamani dada!!
Sasa mimi bora kupika chapati kuliko ugali
Chapati uipate na harage la naz au choroko wee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zimetoka na mikia kama Pweza ?[emoji23][emoji23][emoji23]
Umekosea kwenye kukanda tuu dada!Ahsante, mara nyingi huwa zinavunjika ila za leo zinakunjika lakini ngumuuu
Yaani ninahangaika kujua kupika chapati mimi khaaa, sijawahi kupata mwalimu mzuriNjoo mwenza, hata mimi zilinisumbua Sana. Alikuja kunifundisha msichana wetu wa kazi, alifanyaga kazi kwa wahindi. Alikuwa anapika chapati yule binti acha kabisa, sijawahi kula chapati tamu Kama zile tena.
Sasa mimi bora chapati jamani!!Weeeh!! Bora ugali jamani. Chapati Zina kazi.
Nimekosea wapi sasa???Umekosea kwenye kukanda tuu dada!
Ungekuwa karibu ningekuwa mwl wako dada!!Yaani ninahangaika kujua kupika chapati mimi khaaa, sijawahi kupata mwalimu mzuri
Uko wapi jamani nijeUngekuwa karibu ningekuwa mwl wako dada!!