Afro-Arabica
JF-Expert Member
- Aug 27, 2013
- 1,107
- 492
Yes Mpendwa Nde''''' umetaka kujua ? sasa engeza kamusi yako:- Mashkurra inatokana na neno Shukrani = kwa mwanaume unamtolea Mashkurr na mwanamke unamtolea Mashurra !! Lugha ya Kiswahili bado kichangaa na itazidi kulelewa na kutunzwa na lugha mama ya kiarabu. hakuna shaka maneno tutawapangia kwa taratibu muwafaqa.Good luck.duuuu hii mashkurra ndio nini..
Sahihisho ni Mashkurra.duuuu hii mashkurra ndio nini..
Indeed mikate hiyo ni poa....! Mashkurra
Mhhhh! Ndio mara ya kwanza nasikia chapati za hamira, hongera zako fakhrina, ila kuna chapati za kukanda kwa kutumia samli nazipenda zaidi hizi ukilinganisha na zile za mafuta ya kawaida.
Mie huwa nakandia samli naichanganya na extra virgin olive oil kidogo na maji ya baridi. Ila wakati nazikaanda natumia mafuta kdg tu...ntakuekea chapati zangu lol uzione
Yes Mpendwa Nde''''' umetaka kujua ? sasa engeza kamusi yako:- Mashkurra inatokana na neno Shukrani = kwa mwanaume unamtolea Mashkurr na mwanamke unamtolea Mashurra !! Lugha ya Kiswahili bado kichangaa na itazidi kulelewa na kutunzwa na lugha mama ya kiarabu. hakuna shaka maneno tutawapangia kwa taratibu muwafaqa.Good luck.
Injera?
Mashalah...wajua kupika Batan?
Halow halow, yaelekea mitamuje.
Asante Da Faa, apo natamani niivute niile.
You are God sent.
can you believe nilitaka kuulizia recipe ya hii chapati ya ufuta?! Manake kuna mahali nanunua na wamegoma kuniambia. Natengeneza recipes ya line za healthy baking na hii ni nambari wani kwangu.
Muaaah! Asante sana
Biriani soon..Biriani lini?
Biriani soon..
Ilo biriani tulifanye kesho in sha Allah, birthday yangu kesho tule biriani tena la nyama ya mbuzi
Ilo biriani tulifanye kesho in sha Allah, birthday yangu kesho tule biriani tena la nyama ya mbuzi
kesho si ndio leo mkuu AN..