KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Hahaha KakaJambazi uoe sasa.
farkhina, sijajaribu za maji ya baridi ila wifi Lizzy alishasema zinalainika. Asante tena
Sina bahati shosti.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha KakaJambazi uoe sasa.
farkhina, sijajaribu za maji ya baridi ila wifi Lizzy alishasema zinalainika. Asante tena
Nitaja achika kwa ajili hii. Nikipika chapati, ukiishika upande mmoja imekakamaa tu kama mfuniko wa sufuria.
Hahaha, lol! Ole wako zombie akushtukie.
Huachiki bhana shemegi anakupenda ivoo lol haijalishi umepika chapati ngumu au laini
Jitahid unga ukande hadi uwe laini yaani wakat unasukuma unga wasukumika
Sina bahati shosti.
Sijui leo nkafanye mazowezi? Naweza tumia siagi/blueband badala ya samli?
Nitaja achika kwa ajili hii. Nikipika chapati, ukiishika upande mmoja imekakamaa tu kama mfuniko wa sufuria.
Nitaja achika kwa ajili hii. Nikipika chapati, ukiishika upande mmoja imekakamaa tu kama mfuniko wa sufuria.
Wakati unakaanga usiaubir chini iwive ndio ugeuze chapati inakua ngumu....subir iwive kidogo tu alafu geuza then weka mafuta kaanga utaona chapati yako yafanya kuumuka na kuja juu hapo ndio inawiva hadi ndani....
BAK Mrs Kharusy amu King'asti na wengine
Nitaja achika kwa ajili hii. Nikipika chapati, ukiishika upande mmoja imekakamaa tu kama mfuniko wa sufuria.
Hizi huwa tamu sana farkhina, halafu iwe zimekaangwa kwa samli wee!!! Unaweza ukabugia 5 haraka haraka na bado hujatosheka 🙂🙂
Dah kwa chai zaenda vizuri thana..
Thanks
Hahahahahaha lol!!!! Hii unaweza kuifanya silaha ukimtandika nayo mtu shurti nundu au ngeu. Usichoke Wataalam wa kuzitengeneza chapati akina farkhina, Mrs Kharusy, Angel Nylon etc wamejaa tele hapa jamvini please use them to your advantage.
BAK nawe pia mtaalamu mbona hujitaki halafu hata siku moja hutupi recipe au unaogopa tutakuja kudoea mahanjumati kwako lol......
Cc Mrs Kharusy
Makulaji yote ya kibongo yameshawekwa hapa jukwaani mie sina cha kuongeza, labda niweke recipe ya kukaanga scramble eggs lol!!!!! Hahahahaha...hizi picha leo ni aje? Mbona bakuli halikushikwa na ule mkono wa haja? 🙂
shukran, hilo la kukandia maji baridi limekua somo la msaada sana. nmejaribu, zmetokelezea vyema