Jinsi ya kupika chapati laini na zenye ladha nzuri

Nitaja achika kwa ajili hii. Nikipika chapati, ukiishika upande mmoja imekakamaa tu kama mfuniko wa sufuria.

Huachiki bhana shemegi anakupenda ivoo lol haijalishi umepika chapati ngumu au laini

Jitahid unga ukande hadi uwe laini yaani wakat unasukuma unga wasukumika
 
Sijui leo nkafanye mazowezi? Naweza tumia siagi/blueband badala ya samli?

Siagi labda uchanganye na samli ila siagi tupu hazitakuwa nzuri alafu siagi nahisi ukikaangia chapati zawa nyeusi
 
Reactions: BAK
Hizi huwa tamu sana farkhina, halafu iwe zimekaangwa kwa samli wee!!! Unaweza ukabugia 5 haraka haraka na bado hujatosheka πŸ™‚πŸ™‚

Last edited by a moderator:
Hahahahahaha lol!!!! Hii unaweza kuifanya silaha ukimtandika nayo mtu shurti nundu au ngeu. Usichoke Wataalam wa kuzitengeneza chapati akina farkhina, Mrs Kharusy, Angel Nylon etc wamejaa tele hapa jamvini please use them to your advantage.

Nitaja achika kwa ajili hii. Nikipika chapati, ukiishika upande mmoja imekakamaa tu kama mfuniko wa sufuria.
 
Last edited by a moderator:
Hizi huwa tamu sana farkhina, halafu iwe zimekaangwa kwa samli wee!!! Unaweza ukabugia 5 haraka haraka na bado hujatosheka πŸ™‚πŸ™‚

Ukikaangia samli tupu haiwi laini sana kama kuichanganya na mafuta kdg.....

Najua unapenda chapati za samli
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Hahahahahaha lol!!!! Hii unaweza kuifanya silaha ukimtandika nayo mtu shurti nundu au ngeu. Usichoke Wataalam wa kuzitengeneza chapati akina farkhina, Mrs Kharusy, Angel Nylon etc wamejaa tele hapa jamvini please use them to your advantage.

BAK nawe pia mtaalamu mbona hujitaki halafu hata siku moja hutupi recipe au unaogopa tutakuja kudoea mahanjumati kwako lol......

Cc Mrs Kharusy
 
Last edited by a moderator:
Makulaji yote ya kibongo yameshawekwa hapa jukwaani mie sina cha kuongeza, labda niweke recipe ya kukaanga scramble eggs lol!!!!! Hahahahaha...hizi picha leo ni aje? Mbona bakuli halikushikwa na ule mkono wa haja? πŸ™‚

Mkono mekua ushika simu lol...wewe mgomvi
 
Reactions: BAK
shukran, hilo la kukandia maji baridi limekua somo la msaada sana. nmejaribu, zmetokelezea vyema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…