BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Hahahahaha lol!!!! Huu uzi unanivunja mbavu dah!!! Tumegundua kumbe kuna chapati za aina nyingi za Wabongo, chapati kaukau nyingine huteleza kwenye meno hizi ni za kumeza tu wala usijisumbue kutafuna na nyingine za kau kau hizi kutafuna RUKHSA! kuna nyingine chapati turubai hizi hazifai kula bali kutumika kama turubai kwenye misiba/sherehe lol!!!!