Jinsi ya kupika kabichi pekee na yenye mchanganyiko na mboga za aina nyingine

Hakuna mboga tamu kama ugali wa dona na bamia ilochanganywa na nyanya chungu halaf wakati unapika uweke limao huwa nakula sanaa
Hujawahi kula ugari na kitimoto ya kurost mkuu ndio maana unasema ugari na bamia mtamu.
 
Kabichi ilitakiwa iwe inasindikiza mboga kuu. Uko sahihi.
 
Word!
 
Umemuelewa jamaa vibaya,mbona mlenda kaukubali?
Mlenda ndo mboga ya mwisho kabisa kwa ubaya lakini kaukubali kua unaweza kutumiwa na ugali.
Lakini kabeji labda utumike kwenye wali au kachumbari lakini sio ugali.
 
Mungu akusamehe tu mkuu, wengine tulikulaga ugali wa kulumangia na chumvi.....[emoji29] [emoji22]
Hela ya chumvi na bando unapata wapi mkuu? Kama unakosa ata mia 2 ya kununua fungu la mchicha ili ule ugari na mboga?
 
Umemuelewa jamaa vibaya,mbona mlenda kaukubali?
Mlenda ndo mboga ya mwisho kabisa kwa ubaya lakini kaukubali kua unaweza kutumiwa na ugali.
Lakini kabeji labda utumike kwenye wali au kachumbari lakini sio ugali.
Mkuu huyu anajua kama mimi nimekufuru lakini siyo nia ya mada bora wewe umenielewa mkuu.
 
Ahahahahahah poleni sanaa aisee nyumbani kukiwa hakuna kitu halaf kikapikwa hata chakula cha ajabu unakiona kizuri na kitamu tu,ni sawa na ukiwa na pesa njaa yake sio kali kama ukiwa huna pesa mfukoni njaa inakuwa kali balaa
Tena muda wa msosi kupikwa unakaa zero distance na jiko, mpaka nilikuwa nashangaa baadhi ya marafiki zangu muda wa kula eti mpaka waitwe tena wanaenda kwa kujivuta muda huo umepigika njaa [emoji24] [emoji24] daa kweli mungu wetu sote
 
Tatizo lenu mmekurupuka, mtoa mada hajazungumzia kebichi na nyama ye kasema kebichi ulile peke yake na ugali "mziki wake sasa usipime".
Mziki wake ni Kama unapewa dawa uimeze bila maji inazunguka tu pale mdomoni kila ukimeza yanamezeka mate tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…