Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Sili kitimoto mkuuHujawahi kula ugari na kitimoto ya kurost mkuu ndio maana unasema ugari na bamia mtamu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sili kitimoto mkuuHujawahi kula ugari na kitimoto ya kurost mkuu ndio maana unasema ugari na bamia mtamu.
[emoji16] [emoji16] [emoji16] si mchezo.Mziki wake ni Kama unapewa dawa uimeze bila maji inazunguka tu pale mdomoni kila ukimeza yanamezeka mate tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umemuelewa jamaa vibaya,mbona mlenda kaukubali?
Mlenda ndo mboga ya mwisho kabisa kwa ubaya lakini kaukubali kua unaweza kutumiwa na ugali.
Lakini kabeji labda utumike kwenye wali au kachumbari lakini sio ugali.
Pole sana aisee,lakin sasa mnamtunza mamaTena muda wa msosi kupikwa unakaa zero distance na jiko, mpaka nilikuwa nashangaa baadhi ya marafiki zangu muda wa kula eti mpaka waitwe tena wanaenda kwa kujivuta muda huo umepigika njaa [emoji24] [emoji24] daa kweli mungu wetu sote
Acha kudeka mzee!!Hivi ni nani aligundua kwamba kabichi ni Mboga asee,
Mbona tunatesana hivi si ni bora aliyegundua mrenda japo unatereza lakini ni mwake na ugari kitu kinaenda.
Hivi ugali na kabichi kuna ambae anauelewa kweli ?
Tuache tuseme tu ukweli ni bora nile ugali bila mboga kuliko kula ugali na kabichi.
Mkuu hayo maisha unayoishi tumeishi sote karibia 80% ya watanzania tumeishi maisha hayo hayo unayosemea lakini ukweli kabisa bora unipe ugali na mlenda nitakula mpaka tonge la mwisho kuliko kunipa ugali na kabichi.Jamaa amekulia maisha mazuri
Wengne tumekulia ugali WA mtama ( sio jimbo) na fulu au dagaa
Lakin leo hii ukimuonyesha mtoto ugali WA mtama anaweza kwambia umeweka rangi ya barafu
Njegere kumbe nayo ni mboga...!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mi nawekaga pilipili mkuu, bamia nyanyachungu na pilipili na nyanya, pilipili ule muwasho na utamu wa bamia na kalimao au ndimu asee, ni matatizooHakuna mboga tamu kama ugali wa dona na bamia ilochanganywa na nyanya chungu halaf wakati unapika uweke limao huwa nakula sanaa
Wwalah unadeka watu wanakula ngozi ya ng'ombe ww unadengua ugali na kabichi?Nani anadeka mkuu umeisoma mada na kuielewa kweli?
Mtu anaedeka anawez kusema bora mlenda kuliko kabichi mkuu?
Hata matembele mazuriMchicha ndio mboga ya majani zingine mbwe mbwe tu.
Yaan hapo 100% ,lakin nilivyokuwa mdogo nilikuwa sizipendi nyanya chungu jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mi nawekaga pilipili mkuu, bamia nyanyachungu na pilipili na nyanya, pilipili ule muwasho na utamu wa bamia na kalimao au ndimu asee, ni matatizoo
[emoji16] [emoji16] [emoji16] acha matusi weweSifaham mana nasikia akili zako zipo mbele maili 200
Hivi ni nani aligundua kwamba kabichi ni Mboga asee,
Mbona tunatesana hivi si ni bora aliyegundua mrenda japo unatereza lakini ni mwake na ugari kitu kinaenda.
Hivi ugali na kabichi kuna ambae anauelewa kweli ?
Tuache tuseme tu ukweli ni bora nile ugali bila mboga kuliko kula ugali na kabichi.
Naweza kula ugali na misumari mwaka mzima Lkn sio nyamadaaah nimekumbuka kuna jamaa yangu alishawahi kunambia hawezi kula ugali na dagaa(misumali ya bati) hata siku moja.
Mungu fundi bhana, bahati mbaya nyumba yao imeungua na maisha yao yamedrop economically sababu ya ujenzi wa nyumba yao.
maisha anayoishi jamaa nayaelewa mimi anachokula naelewa mimi
wewe naweza kusema unamkufuru Mungu kama huyo jamaa yangu, .....kabichi ni kachumbari tu au sio??
ngoja yakukute mkuu hapo ndio utajua kwanini chips hazina ukoko
This Time Tomorrow
Ndizi rost na kitimoto unazisoma mkuu!Kabichi na ugali nitakula japo sipendi ila ndizi (vitoke) huko ndiyo kabisaaaaaa, yaani sielewi kwanini watu wanalazimisha kufanya matunda as chakula.
We unasema ugali karanga sometimes ugali na asali au ndizi bila kusahau ugali na chumvi ya kuchovya afu pilipili kama zote vileWatu Tunakula Ugali Na Karanga, Sembuse Ugali Na Kabeji!