Jinsi ya kupika kabichi pekee na yenye mchanganyiko na mboga za aina nyingine

Jinsi ya kupika kabichi pekee na yenye mchanganyiko na mboga za aina nyingine

Umemuelewa jamaa vibaya,mbona mlenda kaukubali?
Mlenda ndo mboga ya mwisho kabisa kwa ubaya lakini kaukubali kua unaweza kutumiwa na ugali.
Lakini kabeji labda utumike kwenye wali au kachumbari lakini sio ugali.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tena muda wa msosi kupikwa unakaa zero distance na jiko, mpaka nilikuwa nashangaa baadhi ya marafiki zangu muda wa kula eti mpaka waitwe tena wanaenda kwa kujivuta muda huo umepigika njaa [emoji24] [emoji24] daa kweli mungu wetu sote
Pole sana aisee,lakin sasa mnamtunza mama
 
Hivi ni nani aligundua kwamba kabichi ni Mboga asee,

Mbona tunatesana hivi si ni bora aliyegundua mrenda japo unatereza lakini ni mwake na ugari kitu kinaenda.

Hivi ugali na kabichi kuna ambae anauelewa kweli ?

Tuache tuseme tu ukweli ni bora nile ugali bila mboga kuliko kula ugali na kabichi.
Acha kudeka mzee!!
 
Jamaa amekulia maisha mazuri
Wengne tumekulia ugali WA mtama ( sio jimbo) na fulu au dagaa
Lakin leo hii ukimuonyesha mtoto ugali WA mtama anaweza kwambia umeweka rangi ya barafu

Njegere kumbe nayo ni mboga...!
 
Mkuu hayo maisha unayoishi tumeishi sote karibia 80% ya watanzania tumeishi maisha hayo hayo unayosemea lakini ukweli kabisa bora unipe ugali na mlenda nitakula mpaka tonge la mwisho kuliko kunipa ugali na kabichi.
 
Hakuna mboga tamu kama ugali wa dona na bamia ilochanganywa na nyanya chungu halaf wakati unapika uweke limao huwa nakula sanaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mi nawekaga pilipili mkuu, bamia nyanyachungu na pilipili na nyanya, pilipili ule muwasho na utamu wa bamia na kalimao au ndimu asee, ni matatizoo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mi nawekaga pilipili mkuu, bamia nyanyachungu na pilipili na nyanya, pilipili ule muwasho na utamu wa bamia na kalimao au ndimu asee, ni matatizoo
Yaan hapo 100% ,lakin nilivyokuwa mdogo nilikuwa sizipendi nyanya chungu jamani
 
Hivi ni nani aligundua kwamba kabichi ni Mboga asee,

Mbona tunatesana hivi si ni bora aliyegundua mrenda japo unatereza lakini ni mwake na ugari kitu kinaenda.

Hivi ugali na kabichi kuna ambae anauelewa kweli ?

Tuache tuseme tu ukweli ni bora nile ugali bila mboga kuliko kula ugali na kabichi.

Kabichi na ugali nitakula japo sipendi ila ndizi (vitoke) huko ndiyo kabisaaaaaa, yaani sielewi kwanini watu wanalazimisha kufanya matunda as chakula.
 
daaah nimekumbuka kuna jamaa yangu alishawahi kunambia hawezi kula ugali na dagaa(misumali ya bati) hata siku moja.

Mungu fundi bhana, bahati mbaya nyumba yao imeungua na maisha yao yamedrop economically sababu ya ujenzi wa nyumba yao.

maisha anayoishi jamaa nayaelewa mimi anachokula naelewa mimi

wewe naweza kusema unamkufuru Mungu kama huyo jamaa yangu, .....kabichi ni kachumbari tu au sio??

ngoja yakukute mkuu hapo ndio utajua kwanini chips hazina ukoko

This Time Tomorrow
Naweza kula ugali na misumari mwaka mzima Lkn sio nyama
 
Back
Top Bottom