pilato93
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 6,296
- 6,692
Bora nile miguu ya kuku tu kuliko hicho kisamvu ila ugenini kugumu unakula tu japo kidogo tu kuwalizishaAiseee kisamvu kilivyo kitamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora nile miguu ya kuku tu kuliko hicho kisamvu ila ugenini kugumu unakula tu japo kidogo tu kuwalizishaAiseee kisamvu kilivyo kitamu
Acha tu ule peke yake na ugali bora ukate kate kachumbari yake ule na ugaliPekeake inahitaji uvumilivuu
Ndio nilikulia shida lakin mbona nilozoea tuUlikulia shida mkuu lakini siyo kwa kupenda
Tena na walii weeee,,,je uyoga sili kabisa wala kuonja,mi hata samaki za ajabu ajabu siliiHajawah kula kile chenye nazi au karanga
Daah kusema kweli nikiwa mwenyewe hata iweje nitaenda kuchukua bamia nitengeneze mboga, au spinachi, ila kabichi ile kuikatakata afu naiona km sishibi hata nile vipiAhahahahahah poleni sanaa aisee nyumbani kukiwa hakuna kitu halaf kikapikwa hata chakula cha ajabu unakiona kizuri na kitamu tu,ni sawa na ukiwa na pesa njaa yake sio kali kama ukiwa huna pesa mfukoni njaa inakuwa kali balaa
Uyoga sili, kwasababu kuna vitu vingi vyakula mbadala yake, labda vyote vikosekaneTena na walii weeee,,,je uyoga sili kabisa wala kuonja,mi hata samaki za ajabu ajabu silii
Aaaha aah Mkuu umeua asee
Mkuu hadi ukubwa huo unaandika chenchi [emoji23][emoji23][emoji23]Bora ata nikute mchicha wa mia mbili hiyo mia nane nyingine afanyie inshu zake nitarizika kuliko nikute kabichi ya jero ata kama akisema chenchi imebaki sitomuelewa kwa kweli.
Bora spinachi, kabichi bora uile kavukavuKabichi ina virutubisho vingi japo wengine hawaipendi.
mboga majani vp kinakata?mboga hizi sukuma wiki na chineseAta ukitaka na kitunguu mkuu maana zote ni jamii moja..
Hakuna mboga tamu kama ugali wa dona na bamia ilochanganywa na nyanya chungu halaf wakati unapika uweke limao huwa nakula sanaaDaah kusema kweli nikiwa mwenyewe hata iweje nitaenda kuchukua bamia nitengeneze mboga, au spinachi, ila kabichi ile kuikatakata afu naiona km sishibi hata nile vipi