Jinsi ya kupika kabichi pekee na yenye mchanganyiko na mboga za aina nyingine

Mkuu sina mazoea ya kula kwa mama ntilie ata kama nimebanwa na kazi gheto nina jiko ,sufuria na vifaa vyote vya kufanikisha kupika kile ninachoitaji kula kwa siku husika.
Umebanwa namajukum unarud getto uko hoi cjui iyo hamu yakuanza kupika unaitoa wap!. Tunaotumia nguvu Na akil tunajua thaman ya mama ntilie
 
Kabichi ikikosewa kupikwa huli maisha, ila kwa wajuzi utaipenda
 
Umebanwa namajukum unarud getto uko hoi cjui iyo hamu yakuanza kupika unaitoa wap!. Tunaotumia nguvu Na akil tunajua thaman ya mama ntilie
Mkuu ukija gheto kwangu kuna simple simpe huwezi kukosa kama tray za mayai hizo,mkate .

Nikiona nimechoka nawasha gase tu nakaanga mayai nakula na mkate nalala nikishapumzika ugari unapikwa mambo fresh.
 
Ni mboga tamu sana kwa ugali ikiungwa na karanga.

Sikuli kabichi ila si kwa sababu kama yako, niliambiwa kabichi na spinachi zinazorotesha nguvu za kiume.
 
Vyote sawa kwani ugali ni chakula?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…