Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
Ndizi rost na kitimoto unazisoma mkuu!
Ndizi roast na nyama ya mbuzi sawa nitakula baa ila kula kama wahaya as main chakula siwezi. Ndizi si chakula hata kidogo bali ni tunda tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndizi rost na kitimoto unazisoma mkuu!
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Zamani home ratiba ikiwa ugali kabichi nilikua nipo radhi kushinda na kunywa maji tu na chai bi mkubwa alikua anayapenda akikatakata anayaanika kuna siku kuku kapindua ungo nilifurahi balaa[emoji3][emoji3]
tena upate cha nyumbu au nchegeMboga ni Kimoro tu .
Nyingine hamna kitu
Mkuu hizo ndio pigo sometimes tunazigusaUgari na Asali mbona mtamu sana mkuu
Hawatakuelewa,mimi nimekuelewa.Nani anadeka mkuu umeisoma mada na kuielewa kweli?
Mtu anaedeka anawez kusema bora mlenda kuliko kabichi mkuu?
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Umeacha buku unataka kula nini?
Kabisa mkuu mleta uzi hyajamkuta,nimekua ghetto tukisoma wazee tunapiga ugali na cabbage daily kubwa kinachoongezeka ni ndizi.daaah nimekumbuka kuna jamaa yangu alishawahi kunambia hawezi kula ugali na dagaa(misumali ya bati) hata siku moja.
Mungu fundi bhana, bahati mbaya nyumba yao imeungua na maisha yao yamedrop economically sababu ya ujenzi wa nyumba yao.
maisha anayoishi jamaa nayaelewa mimi anachokula naelewa mimi
wewe naweza kusema unamkufuru Mungu kama huyo jamaa yangu, .....kabichi ni kachumbari tu au sio??
ngoja yakukute mkuu hapo ndio utajua kwanini chips hazina ukoko
This Time Tomorrow
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Asante wewe naweza kukwita baharia.Wanaume wa dar watu tunakula ugali na chumvi au kwa kuvuta hisia ya kuku
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Halafu mziki mwingine ukisha kula kabichi ukipumua unapumua kitu og!
Mkuu cabbage ni mboga na naikubali sana,halaf unajua chakula chochote kizur kikiandaliwa vilivyo.Kwa nini msingekuwa mnakula ugari na mchicha mkuu kwani kabechi mlikuwa mnapewa bure.?
Basi huipatii upikaji wake, ni kitoweo kizuri!Mkuu sina mazoea ya kula kwa mama ntilie ata kama nimebanwa na kazi gheto nina jiko ,sufuria na vifaa vyote vya kufanikisha kupika kile ninachoitaji kula kwa siku husika.