Jinsi ya kupika kabichi pekee na yenye mchanganyiko na mboga za aina nyingine

Jinsi ya kupika kabichi pekee na yenye mchanganyiko na mboga za aina nyingine

Zamani home ratiba ikiwa ugali kabichi nilikua nipo radhi kushinda na kunywa maji tu na chai bi mkubwa alikua anayapenda akikatakata anayaanika kuna siku kuku kapindua ungo nilifurahi balaa[emoji3][emoji3]
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]

Smart guy
 
Nani anadeka mkuu umeisoma mada na kuielewa kweli?
Mtu anaedeka anawez kusema bora mlenda kuliko kabichi mkuu?
Hawatakuelewa,mimi nimekuelewa.
Haujamaanisha kua hauwezi kula hiyo mboga kisa wewe ni tajiri,ila umemaanisha kulila na ugali ni kazi.
Mbona hata mimi imenishinda kula na ugali.
Lakini mimi nimekulia mazingira magumu kabisa.
 
daaah nimekumbuka kuna jamaa yangu alishawahi kunambia hawezi kula ugali na dagaa(misumali ya bati) hata siku moja.

Mungu fundi bhana, bahati mbaya nyumba yao imeungua na maisha yao yamedrop economically sababu ya ujenzi wa nyumba yao.

maisha anayoishi jamaa nayaelewa mimi anachokula naelewa mimi

wewe naweza kusema unamkufuru Mungu kama huyo jamaa yangu, .....kabichi ni kachumbari tu au sio??

ngoja yakukute mkuu hapo ndio utajua kwanini chips hazina ukoko

This Time Tomorrow
Kabisa mkuu mleta uzi hyajamkuta,nimekua ghetto tukisoma wazee tunapiga ugali na cabbage daily kubwa kinachoongezeka ni ndizi.
 
kwa kutambua umuhimu wa kabeji kwa afya japo siipendi, nakula mbichi, ni kuikata kata nachanganya na nyanya na kitunguu maji inakuwa salad flani hivi safi
 
we are exactly the same mkuu...me naomba kuongezea na ugali parachichi...ugali asali...
 
Mkuu sina mazoea ya kula kwa mama ntilie ata kama nimebanwa na kazi gheto nina jiko ,sufuria na vifaa vyote vya kufanikisha kupika kile ninachoitaji kula kwa siku husika.
Basi huipatii upikaji wake, ni kitoweo kizuri!
 
Yan mzee wangu huwa anasema kula ugali na kabichi ni sawa na kula ugali kwa ugali
Mzee wako yuko sawa kabisa mkuu unakuta ugari unaelea tu pale mdomoni kila ukimeza unameza mate tu.
 
Back
Top Bottom