Jinsi ya kupika kabichi pekee na yenye mchanganyiko na mboga za aina nyingine

Jinsi ya kupika kabichi pekee na yenye mchanganyiko na mboga za aina nyingine

Ukikosa cha kupost kaa kimya kama mkeo hajui kupika mpleke shule
Hivi ni nani aligundua kwamba kabichi ni Mboga asee,

Mbona tunatesana hivi si ni bora aliyegundua mrenda japo unatereza lakini ni mwake na ugari kitu kinaenda.

Hivi ugali na kabichi kuna ambae anauelewa kweli ?

Tuache tuseme tu ukweli ni bora nile ugali bila mboga kuliko kula ugali na kabichi.

Sent from my E6833 using JamiiForums mobile app
 
Hii mboga nayo imekaa ki vyake sana, yaani bilashaka wengi hawaipendi, sema wanakula tu basi wafanye nini jamaaaa
 
Hivi ni nani aligundua kwamba kabichi ni Mboga asee,

Mbona tunatesana hivi si ni bora aliyegundua mrenda japo unatereza lakini ni mwake na ugari kitu kinaenda.

Hivi ugali na kabichi kuna ambae anauelewa kweli ?

Tuache tuseme tu ukweli ni bora nile ugali bila mboga kuliko kula ugali na kabichi.
Kwan nan alikuambia kabichi ni mboga,!!
Ile ni kachumbari mkuu
 
Hii mboga nayo imekaa ki vyake sana, yaani bilashaka wengi hawaipendi, sema wanakula tu basi wafanye nini jamaaaa
Kidogo labda na wali lakini siyo ugari.
 
  • Thanks
Reactions: sab
Mkuu sina mazoea ya kula kwa mama ntilie ata kama nimebanwa na kazi gheto nina jiko ,sufuria na vifaa vyote vya kufanikisha kupika kile ninachoitaji kula kwa siku husika.
Basi kabichi bad hujaijulia mkuu.... huwa inakaangwa flani hivi amazing ukila na ugali lazma udindishe jinsi ilivyotam
 
Mi kabichi Hata iwekwe nyama siielewagi kabisaaa...mboga za msibani hizi bhana
 
Back
Top Bottom