Jinsi ya kupika maandazi matamu ya maziwa na hiriki

Ushuhuda tunasubiri kaka
Unataka ushuhuda gani.? Ushuhuda nilionao ni kwa mama chanja. Anajua kuandaa chakula changu hiki kingine huwa kinakua tayari na anahakikisha nakula kushiba. Bahati mzuri hata kabla yake niliwahi date na mwingine alikua anamiliki mgahawa mkubwa tu naye hakua mnyonge kitandani. Yan ile ukisikia mtoto kautaka ndio yeye sasa mechi anaitaka na hakuangushi.
 
Ahna inawezekana ikawa Kwa baadhi ya watu
Wengine sisi ni tia maji tia maji hamna kitu 😀😀😀
 
Unataka ushuhuda gani.? Ushuhuda nilionao ni kwa mama chanja. Anajua kuandaa chakula changu hiki kingine huwa kinakua tayari na anahakikisha nakula kushiba. Bahati mzuri hata kabla yake niliwahi date na mwingine alikua anamiliki mgahawa mkubwa tu naye hakua mnyonge kitandani. Yan ile ukisikia mtoto kautaka ndio yeye sasa mechi anaitaka na hakuangushi.
Vijana wa bongo, kutoka story za mapishi hadi kitandani. Mh!
 
Mamdogo Auntie hongera mahamri yavutia.

Unakaa kimya sana, usiwe unatuacha acha na sisi wakubwa zako ambao hatujui kukaangiza kama hivi, usitake tuachike!!
 
Nje ya mada: Mara nyingi wanawake wanaojua kupika vizuri pia ni wazuri kitandani! Utafiti: Wanawake wa pwani!
Ni kweli kaka mwanamke anaejua vizuri mapishi hata kitandani wapo vizuri pia huambatana na sifa ya usafi...wanakua wasafi sana

Hapo kwenye wanawake wa pwani wanakua wazuri kitandani Kwa sababu Mila zao wana utaratibu wa kuwafunza wanawake mambo ya kudinyana tofauti na huku uchagani ambapo focus ya wanawake ni kuongeza elimu na mambo ya recategorization 😂
 
Back
Top Bottom