Jinsi ya kupika maandazi matamu ya maziwa na hiriki

Jinsi ya kupika maandazi matamu ya maziwa na hiriki

Ni kweli kaka mwanamke anaejua vizuri mapishi hata kitandani wapo vizuri pia huambatana na sifa ya usafi...wanakua wasafi sana

Hapo kwenye wanawake wa pwani wanakua wazuri kitandani Kwa sababu Mila zao wana utaratibu wa kuwafunza wanawake mambo ya kudinyana tofauti na huku uchagani ambapo focus ya wanawake ni kuongeza elimu na mambo ya recategorization 😂
Mbona recategorization 😂😂
Tupe mifano hai mambo ya ushahid ushawahi Pata mwanamke wa pwani
 
Mamdogo Auntie hongera mahamri yavutia.

Unakaa kimya sana, usiwe unatuacha acha na sisi wakubwa zako ambao hatujui kukaangiza kama hivi, usitake tuachike!!
Hawa viumbe hata upike Nini hawatosheki 😀😀utaachwa sabbu ulichelewa sokoni

Tupike tule tujenge mwili dada nitakuwa najitahidi kipenzi
 
Hawa viumbe hata upike Nini hawatosheki 😀😀utaachwa sabbu ulichelewa sokoni

Tupike tule tujenge mwili dada nitakuwa najitahidi kipenzi
Saa nyingine hua naona kama kupika kitu kikawa kitamu inategemea na mkono wa mtu. Kuna mwingine anaweza kufuata maelekezo yote kama yalivyo na ukashangaa hayawi matam. 😐
 
Siwezi kulala moja kwa moja lazima nipate mchachuo wa kuchangamsha damu. Mtoto wa mama mkwe apate kiu ya maji
Kwan watu wakioana ndio hufanya kilasiku?
Nilimsikia rafikyngu na wew naona hapa pia hebu mniambie kwanza😀😀😀
 
Back
Top Bottom