Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo unamcheka mteja wako wa mandazi?😁😃😃😃Nitakucheka Hadi nianguke father Christmas
Wapi nije tag locationNjoo Sasa 😀
Niagizie please 😋😋😋Natumaini mko salama Leo naomba niwaletee recipe ya maandazi matamu laini na yanayoweza kukaa hata wiki yakiwa Bado laini na matamu
Mahitaji
Ngano kilo moja
Sukari robo (utaigawa mara mbili)
Iriki iliyosagwa Kijiko kimoja
Maziwa ya maji nusu lita
Mafuta ya kupikia(pima kikombe Cha ml 250kwaajili ya kukandia)
Amira Kijiko kimoja
baking soda Kijiko kimoja
Hatua ya kwanza
Weka ngano Yako kwenye beseni bandika mafuta ya kula jikoni yakipata joto mimina kwenye ungawako Anza kuchanganya had uhakikishe kuwa mafuta na ngano vimechanganyika vizuri hii ni muhimu
Hatua ya pili
Baada ya mchanganyiko kuwa laini weka Amira,baking soda,iriki pamoja na sukari kwenye ngano changanya Tena Kisha miminia maziwa kidogo kidogo huku unakanda
Hakikisha mchanganyiko wako unakuwa mlaini kias usiwe mgumu Kanda had unga wako uone uko smooth funika acha uumuke
Hatua ya Tatu
Ngano ikiumuka Anza kukanda Tena Kwa dakika 2 tunaita kutoa hewa Kisha sukuma na kata vipande size upendayo Kisha funika Tena au acha Tena iumuke Tena kidogo
Hii hatua ya kuacha iumuke Tena ni muhimu Kwa matokeo mazuri
Hatua ya nne
Bandika chombo Cha kupikia mimina mafuta yakipata joto weka maandazi Yako Anza kupika Kwa moto wa wastani
Maandazi haya ni mazuri laini na matamu sana jinsi ya kuyatunza hakikisha unaweka kwenye chombo au mfuko yasikae wazi hapo yanaweza fika siku 5 yakiwa na uborawake View attachment 3093778View attachment 3093779
Nisaidie kuotea nije apo chaaapNyuma ya stedi hapa Sasa otea stand gani😃
Angekua pale ma flat ya chuo Cha maji tungemuwekea bili ya kula kwa mwezi.😂😂😂😂
Mpishi alete....
Hivi kweli unajua kupika maandazi?? Wadada wengi sikuhizi ujuz huu umekuwa adimu
😋😋😋😋 Na supu ya Kuku au roast ya maini na Pepsi baridi aiseee.
Kunywa pombe😂😂😂😂ungemuwamba Kofi kidogo, Mimi ni ngumu sana kucheka yaan nikumbuke jambo Afu nicheke labda kinachekesha sana!🤣🤣🤣Mimi nakucheka dam dam
Kunasiku nilikuwa nawaelekeza watoto kuhusu kazi za wazazi wao wajue na wathamini wanachofanya
😃😃Nikawaambia wataje kazi za wazazi wao km wanajua mmoja akasema babaangu mm kazi yake anakunywa pombe tu 😀 Nilicheka sana
🤣🤣🤣Aisee Kila nikimuona yule baba Nacheka balaa Yani akinisemesha yule baba ndo Sina mbavu 🤣🤣🤣
Sembuse uje na Hilo vazi 😀😀😀
Hahaha sio mama kifusi?? Maana kuna Maza alikuwa anapika msosi mwingi analeta nyuma ya coet huku.Angekua pale ma flat ya chuo Cha maji tungemuwekea bili ya kula kwa mwezi.
Kuna mama nilikuaga nampa 93k tshilling Kila mwezi.
nishajaribu sana nimetoka kapa ni mjanja janja sana kama dada ake Bantu Lady😂😂😂
Cheza Kama Pele, uje na mpishi wakati unaonja maandazi mpishi aone
Haha wale wale warembo wadunianishajaribu sana nimetoka kapa ni mjanja janja sana kama dada ake Bantu Lady