Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Popote nitawaletea mzee wa hall v. Kwenu nyinyi siwezi kataa kitu. Nipo kwaajili yenu 🥰😂😂😂
Nilienda one time nilikuta watoto wazuri mnoo...
Nikasema kweli vijana wanafaidi mema yadunia.
Basi mwambie Bantu Lady atusaidie upande wa derivery