Jinsi ya kupika makande

Jinsi ya kupika makande

Mkuu unabusara sana.
Kama Umezaliwa Kwenye Family Inayojimudu Mengi Sana Huyajui, Makande Unasema Unakula Kwa Sababu Una Shida.
Kuwa Uyaone Siyo Maghorofa Ila Mchaka Mchaka Wa Maisha.
Kuna Mengi Sana Watu Wengi Sana Wakisema Wasimulie Unaweza Kubaki Mdomo Wazi
 
Yamewaokoa wengi... Yamewakuza wengi... Sasa hivi una shibe usiyabeze right now kuna mtu anatafuta apate walau vijiko viwili vya hayo makande hapati
Yaani hiki chakula tuseme tu jamani, tulio wengi tunakilia shida.

Halafu dada/mama zetu, hivi mkipika, ni lazima mpike mengi? Yaani tuyale mchana, tuyale jioni na kesho tuyanywee chai duuh
chakula ni ibada usikibeze
 
Aisee wewe naona huyajui makande ndugu. Ngoja nikuorodheshee hapa
1- Makande ya Njugu hapa ni noma
2- Makande ya Karanga hatari
3- Makande ya Choroko mtihani
4- Makande ya Kunde ni shidaa
5- Makande ya Dengu baraa
Haya yote huwa mazuri zaidi yanapoliwa asubuhi yaani yaliyolala hatari sana weka mbali na watoto.
 
Hahaaaaa bora makandeeee
Kebichi ni funga kaziiii....
Half kuna watu wanasemaa
oooooh hujakutana na lililopikwa vizuriiiii

lile dude tunakula kuokoa roho tuuuu...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaan hilo dudu nilikua nakula kwa shida tu, yaan hata litiwe viungo gani cjawahi kulielewa. Bora kande hasa iring/njombe zinanunulika kuliko supu hasa asubuhi, ila zinakua za mahindi mabichi
 
Maeneo ya kwetu huku watu huponea njaa ile ya mwezi wa 2. Ni mwendo wa kubandika kande kila siku, mpaka mahindi ya mashambani yaje kukomaa mwezi wa 5 mko hoi
Kama Umezaliwa Kwenye Family Inayojimudu Mengi Sana Huyajui, Makande Unasema Unakula Kwa Sababu Una Shida.
Kuwa Uyaone Siyo Maghorofa Ila Mchaka Mchaka Wa Maisha.
Kuna Mengi Sana Watu Wengi Sana Wakisema Wasimulie Unaweza Kubaki Mdomo Wazi
 
Yamewaokoa wengi... Yamewakuza wengi... Sasa hivi una shibe usiyabeze right now kuna mtu anatafuta apate walau vijiko viwili vya hayo makande hapatichakula ni ibada usikibeze
Kweli kabisa mganga.
Ungeanzisha taasisi ya wachawi Tanzania,ikawa inatoa huduma ya makande kwa watu wasio jiweza!!!
 
Yaani hiki chakula tuseme tu jamani, tulio wengi tunakilia shida.

Halafu dada/mama zetu, hivi mkipika, ni lazima mpike mengi? Yaani tuyale mchana, tuyale jioni na kesho tuyanywee chai duuh
Mi jana ndo nilimalizia asubuhi yalikua poa sana kwa chai
 
kande kwa Nazi ndio pake

mengineyo inategemea na ujuvi wa mpishi
 
Pole sana kwa kutoyapenda.

Sijajua bado hata kinachofanya yalete njaa mapema.
Ni ile nguvu ya kuyatafuna...maana kuyatafuna nayo kaazi ?kweri kweri)
Muscles za Taya zinatoka jasho...na digestion yake hivyo hivyo
 
Hahahahaaa, makande bana kama CHADEMA yanachukiwa tu bila sababu.
Kwangu home yanapikwa kama chakula cha adhabu siku watoto wakimwaga/kuringa chakula kizuri, basi watanuna vibaya na muda wa kula kila mmoja amenuna na ameshiba, kiukweli huwa wanalala njaa siwabembelezi.
Au wanakula kwa bakora na sharti umalize sahani uliyopakuliwa na mama, afu mama ndo anakujazia kwa misifa, huku mdingi kashika bonge la bakoraa
 
Ni ile nguvu ya kuyatafuna...maana kuyatafuna nayo kaazi ?kweri kweri)
Muscles za Taya zinatoka jasho...na digestion yake hivyo hivyo
Hujawi kutafuna mahindi makavu yakukaangwa,bora makande yanakuwa yamelainika kiasi unaweza kukatika taya,njaa sio kitu cha kuchezea kabisa.
 
makande ya nazi
Aisee wewe naona huyajui makande ndugu. Ngoja nikuorodheshee hapa
1- Makande ya Njugu hapa ni noma
2- Makande ya Karanga hatari
3- Makande ya Choroko mtihani
4- Makande ya Kunde ni shidaa
5- Makande ya Dengu baraa
Haya yote huwa mazuri zaidi yanapoliwa asubuhi yaani yaliyolala hatari sana weka mbali na watoto.
 
Ukiyasema makande vibaya unatukosea adabu. Makande ni msosi wa asili na umetukuza sisi wenzako. Kande lipate mtindi mzitoooo, nakula hadi uniambie niache...
 
Back
Top Bottom