Jinsi ya kupika makande

Jinsi ya kupika makande

Hahaaaaa bora makandeeee
Kebichi ni funga kaziiii....
Half kuna watu wanasemaa
oooooh hujakutana na lililopikwa vizuriiiii

lile dude tunakula kuokoa roho tuuuu...
Cabbage hapana aisee lile dude huwa silielewi.


Ila makande me nayakubali tena yaungwe na nazi then yawekwe na sukari nipate na chai aisee😋
 
Mpare mmoja mwenye akili sana, tutonga na bajeti
Yaani hiki chakula tuseme tu jamani, tulio wengi tunakilia shida.

Halafu dada/mama zetu, hivi mkipika, ni lazima mpike mengi? Yaani tuyale mchana, tuyale jioni na kesho tuyanywee chai duuh
 
Mimi hata yapikwaje kwa kweli.
Mama angu alikua anayapika anaweka na karanga. Yani ukiyaangalia unaona nazi tu. Akimaliza hapo anaweza kachumbari na samaki wa kukaanga. Lakini nilikua sioni utamu wake bali kujaza tumbo tu.
Siku nikienda Tanga nitamwambia anipikie labda naweza nikayapenda tena maana siku hizi vitu nilivyokua sivipendi navila sana
Eti makande mabaya mkuu kile chakula habari nyingine hasa kande ikolee nazi na karoti.
 
Pole sana kwa kutoyapenda.

Sijajua bado hata kinachofanya yalete njaa mapema.
Mimi sijawahi jua kama yanaleta njaa mapema maana nikila nakula kidogo mno so lazima nisikie njaa. Ila kila mtu na preference zake asee...
Mie ugali tu
 
Back
Top Bottom