Jinsi ya kupika makande

Jinsi ya kupika makande

Ushapikiwa ndizi na samaki mkuu hasa sangara au sato? Acha mchezo kabisa😋
Nakwambia hakuna pishi la ndizi sijawahi kula. Sidhani kama kuna mkoa wanaojua pika ndizi kama mikoa ya huku kaskaz ila hapana zimenishinda. Weka nyama ya ng'ombe..k moto..samaki wapi. Toka mdogo sizipendi ndizi afu mbaya zaidi nikila tumbo linajaa na kuuma..
Kama chakula fulani kinaitwa Sushi. Kilinitapikisha asee
 
Ninavyoyapenda makande nikila huwa nachelewa kushiba na nikishiba dakika 10 njaa tena umenikumbusha kesho napika.
Naomba kutuma application ya kukaribishwa. Mimi hayo nikila nimekaa siwezi kusikia yanaenda wapi. Hivyo nikipiga plate ya kwanza nasimama nazunguka nyumba nakuja naanza round 2, hivyo hivyo round 3, 4..... Mpaka nikisikia kuhema ni shida ndio na stop kama yatakuwa bado yamo kny sifuria[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani hiki chakula tuseme tu jamani, tulio wengi tunakilia shida.

Halafu dada/mama zetu, hivi mkipika, ni lazima mpike mengi? Yaani tuyale mchana, tuyale jioni na kesho tuyanywee chai duuh
wapare
 
Sipendi kwenda kwa mtu nikakuta wamepika huwa naona aibu kupakuwa maana naweza shindilia sahani wakanishangaa [emoji3][emoji3][emoji3]
Usiombe maana kama ni mda wa lunch utajiona live ukishinda njaa[emoji23][emoji23]
 
kebich halijawah kua zurii, hata kwenye kachumbari tunazugaa tuuuu....

Sasa usiombee upige ugali na kebich tuuuu....
Alooo tonge linaenda km linarudi...
Yaani unahisi kbsa tonge linataka kurudi ila ww unasukumizaa tuu,
kwanza hata mate hayatokii nayo yanagomaaa.....

Mi nahisi hata Likifika tumboni hata minyoo wanalikaushia...
Kweli kila mtu na akipendacho. Mimi kabeji naipenda sana sana sana. Uikaange vizuri na nyama ya ngombe au kuku kwa ugali au wali na pilipili pembeni! Wewe.....
 
Kabichi na wali wa nazi daaaah. Unalikuta kaavuu limepikwa na kitunguu, carrot na hohi. Lazima ujirambe
hahaaaaaaa kebich hili hili?
Au ni yale ya kizungu....?
Mzigua90, hembu acha utanii.......

Halaf hata hoho silielewag elewag kbsaa

kwaio we ushwahi kula kebich tamu?
Achana na kulitaftia chakula kizuri ndio lipendezee...

Umeshushiwa hapo kebich na dona utakulaaa......,
hahahaa alooo Hata ubishe HULIIII
Lile dude bora ulile bichi...
 
Yalibuniwa na chifu Wa kauzu,sema makande mazuri ni ya KFC unakuta na paja LA samaki ndani yake,miguu ya kokoliko na juisi kola ya bariidi huwezi kujuta kabisa mkuu.
 
Nakwambia hakuna pishi la ndizi sijawahi kula. Sidhani kama kuna mkoa wanaojua pika ndizi kama mikoa ya huku kaskaz ila hapana zimenishinda. Weka nyama ya ng'ombe..k moto..samaki wapi. Toka mdogo sizipendi ndizi afu mbaya zaidi nikila tumbo linajaa na kuuma..
Kama chakula fulani kinaitwa Sushi. Kilinitapikisha asee
Nilikuwa sipendi Sushi. Silky moja rafiki yangu akaniambia tupite sehemu kiukweli sikujuta ile sushi ilikuwa tamu balaa.
 
Kweli kila mtu na akipendacho. Mimi kabeji naipenda sana sana sana. Uikaange vizuri na nyama ya ngombe au kuku kwa ugali au wali na pilipili pembeni! Wewe.....
Mkuu kila anayesema analipenda, basi anataja na kitu kitakachoipa support na lazima hicho kitu kiwe kizuri,

M nazungumzia ile head to head....
Umepewa kebich hapa ugali huu hapa?
Mkuu tuache utani mate yote yanarudi ndaniii,

Mm mbg ya majani yyt nakula pekee kwa ugali au ndondo kwa ugali yaani safi kbsa, ila kebichi nakula ili nisife mkuu.
 
Back
Top Bottom