Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,194
Mimi ni mmoja wapo nikila kande sishibi huwa napika nyingi Yaani siku hiyo inakuwa ni kula tu.Tatizo ya hiyo kitu wengine tukila huwa hatushibi unakula ukicheza kidogo tu nusu saa njaa inauma tena.