Igombe fisherman
JF-Expert Member
- Apr 28, 2017
- 2,178
- 3,865
Kwani nancy sumary anasemaje pale mwanza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimecheka kwa sautiiiHahaaaaa bora makandeeee
Kebichi ni funga kaziiii....
Half kuna watu wanasemaa
oooooh hujakutana na lililopikwa vizuriiiii
lile dude tunakula kuokoa roho tuuuu...
Hiyo mboga watu tulikula tu kwakuwa hali ya kifedha ilikuwa sio nzr, kiukweli sijui kama kunawatu wanaipenda ila mm sipendi kwakweli.Hahaaaaa bora makandeeee
Kebichi ni funga kaziiii....
Half kuna watu wanasemaa
oooooh hujakutana na lililopikwa vizuriiiii
lile dude tunakula kuokoa roho tuuuu...
kebich halijawah kua zurii, hata kwenye kachumbari tunazugaa tuuuu....Hiyo mboga watu tulikula tu kwakuwa hali ya kifedha ilikuwa sio nzr, kiukweli sijui kama kunawatu wanaipenda ila mm sipendi kwakweli.
Eti makande mabaya mkuu kile chakula habari nyingine hasa kande ikolee nazi na karoti.Ongeza na share Yangu kabisa
Mkuu yawe Kama mihogo ya kuchemsha utayafurahia...uyale ukiwa na alternative...sio uyalie njaa au shida...inaweza amsha sononeko la ugumu wa maishaNinavyoyapenda makande nikila huwa nachelewa kushiba na nikishiba dakika 10 njaa tena umenikumbusha kesho napika.
Mkuu mimi kande ipikwe vyovyote napeleka.Mkuu yawe Kama mihogo ya kuchemsha utayafurahia...uyale ukiwa na alternative...sio uyalie njaa au shida...inaweza amsha sononeko la ugumu wa maisha
Huwa inanuka vzr sana ikiwekwa hivyo vitu.Eti makande mabaya mkuu kile chakula habari nyingine hasa kande ikolee nazi na karoti.
WapareYaani hiki chakula tuseme tuu jamani,tulio wengi tunakilia shida
Halafu dada/mama zetu,hivi mkipika,ni lazima mpike mengi? Yaani tuyale mchana,tuyale jioni...na kesho tuyanywee chai duuh
Kande inaupishi wake mimi ikipikwa kande nile mara tatu kwa siku 😄😄Huwa inanuka vzr sana ikiwekwa hivyo vitu.
Tatizo ya hiyo kitu wengine tukila huwa hatushibi unakula ukicheza kidogo tu nusu saa njaa inauma tena.Kande inaupishi wake mimi ikipikwa kande nile mara tatu kwa siku 😄😄
Yaani hiki chakula tuseme tuu jamani,tulio wengi tunakilia shida
Halafu dada/mama zetu,hivi mkipika,ni lazima mpike mengi? Yaani tuyale mchana,tuyale jioni...na kesho tuyanywee chai duuh
Na vyakula watu wanavyovilia kwa shida viko vingi tu, we unayajua makande tu. Kua uyaone!Kama Umezaliwa Kwenye Family Inayojimudu Mengi Sana Huyajui, Makande Unasema Unakula Kwa Sababu Una Shida.
Kuwa Uyaone Siyo Maghorofa Ila Mchaka Mchaka Wa Maisha.
Kuna Mengi Sana Watu Wengi Sana Wakisema Wasimulie Unaweza Kubaki Mdomo Wazi