Hahaaaaa bora makandeeee
Kebichi ni funga kaziiii....
Half kuna watu wanasemaa
oooooh hujakutana na lililopikwa vizuriiiii
lile dude tunakula kuokoa roho tuuuu...
Kama Umezaliwa Kwenye Family Inayojimudu Mengi Sana Huyajui, Makande Unasema Unakula Kwa Sababu Una Shida.
Kuwa Uyaone Siyo Maghorofa Ila Mchaka Mchaka Wa Maisha.
Kuna Mengi Sana Watu Wengi Sana Wakisema Wasimulie Unaweza Kubaki Mdomo Wazi
chakula ni ibada usikibezeYaani hiki chakula tuseme tu jamani, tulio wengi tunakilia shida.
Halafu dada/mama zetu, hivi mkipika, ni lazima mpike mengi? Yaani tuyale mchana, tuyale jioni na kesho tuyanywee chai duuh
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaan hilo dudu nilikua nakula kwa shida tu, yaan hata litiwe viungo gani cjawahi kulielewa. Bora kande hasa iring/njombe zinanunulika kuliko supu hasa asubuhi, ila zinakua za mahindi mabichiHahaaaaa bora makandeeee
Kebichi ni funga kaziiii....
Half kuna watu wanasemaa
oooooh hujakutana na lililopikwa vizuriiiii
lile dude tunakula kuokoa roho tuuuu...
Kama Umezaliwa Kwenye Family Inayojimudu Mengi Sana Huyajui, Makande Unasema Unakula Kwa Sababu Una Shida.
Kuwa Uyaone Siyo Maghorofa Ila Mchaka Mchaka Wa Maisha.
Kuna Mengi Sana Watu Wengi Sana Wakisema Wasimulie Unaweza Kubaki Mdomo Wazi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] shida tu, kabichi la jero linapikwa mara 2, halafu linaanikwa lisiozeHiyo mboga watu tulikula tu kwakuwa hali ya kifedha ilikuwa sio nzr, kiukweli sijui kama kunawatu wanaipenda ila mm sipendi kwakweli.
Kweli kabisa mganga.Yamewaokoa wengi... Yamewakuza wengi... Sasa hivi una shibe usiyabeze right now kuna mtu anatafuta apate walau vijiko viwili vya hayo makande hapatichakula ni ibada usikibeze
Mi jana ndo nilimalizia asubuhi yalikua poa sana kwa chaiYaani hiki chakula tuseme tu jamani, tulio wengi tunakilia shida.
Halafu dada/mama zetu, hivi mkipika, ni lazima mpike mengi? Yaani tuyale mchana, tuyale jioni na kesho tuyanywee chai duuh
Ni ile nguvu ya kuyatafuna...maana kuyatafuna nayo kaazi ?kweri kweri)Pole sana kwa kutoyapenda.
Sijajua bado hata kinachofanya yalete njaa mapema.
Au wanakula kwa bakora na sharti umalize sahani uliyopakuliwa na mama, afu mama ndo anakujazia kwa misifa, huku mdingi kashika bonge la bakoraaHahahahaaa, makande bana kama CHADEMA yanachukiwa tu bila sababu.
Kwangu home yanapikwa kama chakula cha adhabu siku watoto wakimwaga/kuringa chakula kizuri, basi watanuna vibaya na muda wa kula kila mmoja amenuna na ameshiba, kiukweli huwa wanalala njaa siwabembelezi.
Hujawi kutafuna mahindi makavu yakukaangwa,bora makande yanakuwa yamelainika kiasi unaweza kukatika taya,njaa sio kitu cha kuchezea kabisa.Ni ile nguvu ya kuyatafuna...maana kuyatafuna nayo kaazi ?kweri kweri)
Muscles za Taya zinatoka jasho...na digestion yake hivyo hivyo
Kabichi ukichanganya na nyama ni mboga nzuri sana hasa upate na ugali laini wamoto bila kusahau maziwa mtindi pembeniHiyo mboga watu tulikula tu kwakuwa hali ya kifedha ilikuwa sio nzr, kiukweli sijui kama kunawatu wanaipenda ila mm sipendi kwakweli.
Aisee wewe naona huyajui makande ndugu. Ngoja nikuorodheshee hapa
1- Makande ya Njugu hapa ni noma
2- Makande ya Karanga hatari
3- Makande ya Choroko mtihani
4- Makande ya Kunde ni shidaa
5- Makande ya Dengu baraa
Haya yote huwa mazuri zaidi yanapoliwa asubuhi yaani yaliyolala hatari sana weka mbali na watoto.
Kweli kabisa mganga.
Ungeanzisha taasisi ya wachawi Tanzania,ikawa inatoa huduma ya makande kwa watu wasio jiweza!!!
Nancy Lema.Kwani nancy sumary anasemaje pale mwanza?
Kande linanuka?Huwa inanuka vzr sana ikiwekwa hivyo vitu.