Jinsi ya kupika makande

Hali Ngumu kwetu wanaweza pika ugali na mchicha ila sio, makande
Yana take muda kupika, mkaa mwingi.
 
Yaani hiki chakula tuseme tu jamani, tulio wengi tunakilia shida.

Halafu dada/mama zetu, hivi mkipika, ni lazima mpike mengi? Yaani tuyale mchana, tuyale jioni na kesho tuyanywee chai duuh
Kama hutajali Mkuu, weka hapa jamvini kilichokusibu hadi kuandika hayo!
 
Ninavyoyapenda makande nikila huwa nachelewa kushiba na nikishiba dakika 10 njaa tena umenikumbusha kesho napika.
Kwakweli hata mimi nayapenda sana tu. Nimeyamiss kesho lazima yahusike.
 
[emoji3] [emoji3] kabichi haipendwi na watu wengi
 
Kama Umezaliwa Kwenye Family Inayojimudu Mengi Sana Huyajui, Makande Unasema Unakula Kwa Sababu Una Shida.
Kuwa Uyaone Siyo Maghorofa Ila Mchaka Mchaka Wa Maisha.
Kuna Mengi Sana Watu Wengi Sana Wakisema Wasimulie Unaweza Kubaki Mdomo Wazi
in life kuna mambo hayawi level
 
"E="LadyRed, post: 33731465, member: 358507"]
"
hayo yote ni kuipamba tuu.. ule na ugali tenaaaa??

kabichi tuwaachie Kobe jamn..
[/QUOTE]
😂😂😂😂😂😂

Haki tena cabbage mi lazma iungwe nyanya bila hivyo basi iwekewe mayonaisse tule salad tu njue moja
[/QUOTE]"

mayonaisse ndo mdudu gani huyo.. au ndo harmonize??
 
Mi hayo makitu yalishanishinda aiseee, bora nipige dash tu kama hakuna chakula kingine, au angalau nipakue ile rojo yake tu. Masuala ya kutafuna mahindi siyaelewi kabisa, Shuleni siku ya makande nilikuwa nalala njaa tu.

kiukweli tunatofautiana, kuna watu hawapendi kabichi!? Wakati mi na hata ikichemshwa tu nakula vizuri kabisa na roho inasuuzika.
 
"E="binti kiziwi, post: 33741420, member: 238649"]
Mi hayo makitu yalishanishinda aiseee, bora nipige dash tu kama hakuna chakula kingine, au angalau nipakue ile rojo yake tu. Masuala ya kutafuna mahindi siyaelewi kabisa, Shuleni siku ya makande nilikuwa nalala njaa tu.

kiukweli tunatofautiana, kuna watu hawapendi kabichi!? Wakati mi na hata ikichemshwa tu nakula vizuri kabisa na roho inasuuzika.
[/QUOTE]"
utakuwa na matatizo ww haki.
 
Hiki chakula miaka ya 94 ndiyo nilikula kwa mara ya kwanza, kipindi hicho nilikua nafanya kazi ya ujenzi.

Tulikua tunamjengea mzee mmoja wa kijaluo kule boko, basi kila siku chai yake akituletea na makande chakula cha mchana makande.

Nikajua chakula hiki kina asili ya kijaluo, maana kwa mikoa mingine hiki chakula kinafikishwa na wageni.
Kama Umezaliwa Kwenye Family Inayojimudu Mengi Sana Huyajui, Makande Unasema Unakula Kwa Sababu Una Shida.
Kuwa Uyaone Siyo Maghorofa Ila Mchaka Mchaka Wa Maisha.
Kuna Mengi Sana Watu Wengi Sana Wakisema Wasimulie Unaweza Kubaki Mdomo Wazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kule kusini, makande ni chakula kilicholetwa na wageni, hivyo hayapikwi sana, kule kuna chakula kinaweza kuwa kama makande ila hawaiti hivyo.

Wao huita mseto, (Chipweng'e) kwa wa wamwera na wamakonde.
Hiki chakula mchanganyiko wa mchele na kunde, ama njugu mawe, na hata choroko. Mchele waweza kuwa wa mpunga ama mtama, mseto ukiungwa na nazi ni mzuri zaidi.

Mseto hutofautiana na makande mseto unakua umeingia kwenye Ubwabwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kuku kuna watu hawapendi, hadhuriki wakila, ila lile shombo tu mwingine humchukiza, hivyo ni kawaida tu.
Mkuu kwahivo wewe unakula makande sababu una shida??? Mbona ni chakula kitamu sana au hujapata fundi wa kutatengeneza. Me nakipenda sana sema mpaka nirudi kijijini mama anipikie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makande mixer makweme ...kabichi la karanga au kabichi lichemshwe na karoti halafu ligongee na kuku wa kukaaanga mixer mayonaizzzz daahacha bana

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Makande yapikwe kwa maharage mabichi yawekwe nazi yaungwe na carrot,pilipili hoho,kitunguu,yakatiwe vipande vidogo vidogo vya nyama hizo chips zenu za Dar zinazopikwa na mafuta ya transformer zinazopunguza nguvu flani hazioni ndani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani hiki chakula tuseme tu jamani, tulio wengi tunakilia shida.

Halafu dada/mama zetu, hivi mkipika, ni lazima mpike mengi? Yaani tuyale mchana, tuyale jioni na kesho tuyanywee chai duuh
Ndio chakula changu pendwa Sana pia cc wapare hiyo ndio pilau yetu pia Kuna kibulu mahindi mabichi na mharage mabichi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…