Jinsi ya kupika makande

Jinsi ya kupika makande

Humu kila anayetetea kitu,
anakuambio oooh sijui kande/kebich lichanganywe na nini,

Hatuzungumzii mchanganyo hapa, tunataka ile head to head,
mapish yanayotumika kupikia chakula/mboga ya kawaida ndio hayo hayo yatumike kupkia kande/kebich, sio sijui peanut, sukari n.k

kizur n kizuri tu, we ushawah ona mtu akilalamika oooh hii nyama uichanganye na ........?

Ile n tamu kuanzia mchemsho,
sasa kula kebich au kande mchemsho kama mate yatatoa ushirikiano,

Hawa akina mama nao mda mwingne wanatuzingua, nyama wanaonja wao kama imeiva,
ushawah ona anaonja kebich/kande zaid ya kuponda/kuminya?
Tena mda mwingne anamsukumizia dada, wewe ........ Hemb kaonje mboga/chakula huko.

Halaf ukizngua, anakutishia et oooh, kuna wenzako wanakitafta hcho, mara hujawah lala na njaa wewe, mara watoto wa skuhz, mara wewe ugenini utapata tabu,
Wazazi wazaman hasa akina mama, akiona amepika mzgo haupit shngoni, hayo ndio mabiti yao, basi wewe unaona maisha nje ya nyumbn magumu kinyama.

Hata boarding, ugali ndondo ndio mpango.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Majani ya kunde yana utamu gani jamani?
 
Yani hicho chakula hapana..tena yawekwe maharagwe ndiyo kabisaaa sigusi labda kidogo yatiwe njugu mawe nitakula tena yawe kiporo siyo Yale fresh..
Haha nashukuru Mungu mama ajawahi pika kabisa nyumbani maana kwetu vyakula vingi haijafika muda wa kula mahindi hayo kama kitimoto. Ila nyumba zingine nilizowahi kuishi daaah
 
Hongera..

Ugali inategemea na mboga..Nina wiki mbili 3 sijaula ugali..usiku ndiyo kabisa hunilishi ugali .
Kipindi flani naishi zenji nilikaa miezi 3 sijaona ugali kabisa..kila siku wali..chapati..mavyakula mengine ila ugali hakuna.. Roho kidogo initoke
Siku naupata sikuamini..Ukiwa kwetu utapenda ugali tu maana mboga aina nyingi zipo.
 
Ila bwana upate ugali laini hivi alafu wamoto na harage pembeni na dagaa wa kukaanga kipilipili kwa mbaali..iwe mchana..nakulaga ugali hadi navimbiwa.
 
Mzee umeamka nacho hicho kiporo cha kande,[emoji3][emoji3]

Yaani hiki chakula tuseme tu jamani, tulio wengi tunakilia shida.

Halafu dada/mama zetu, hivi mkipika, ni lazima mpike mengi? Yaani tuyale mchana, tuyale jioni na kesho tuyanywee chai duuh
 
Haha nashukuru Mungu mama ajawahi pika kabisa nyumbani maana kwetu vyakula vingi haijafika muda wa kula mahindi hayo kama kitimoto. Ila nyumba zingine nilizowahi kuishi daaah
Kwetu ratiba ya kande ipogo..na mama alikuwa akitaka kupika kande basi asinishirikishe maana anajua akinishirikisha huo mguno nitakaoutoa hapo..utamsikia huyo tena mchagua vyakula..Basi alikuwa anaghairi kupika.
 
Mzee umeamka nacho hicho kiporo cha kande,[emoji3][emoji3]

Yaani hiki chakula tuseme tu jamani, tulio wengi tunakilia shida.

Halafu dada/mama zetu, hivi mkipika, ni lazima mpike mengi? Yaani tuyale mchana, tuyale jioni na kesho tuyanywee chai duuh

images~2.jpeg
 
Niklaga haya madude baada ya muda kidogo nafeel njaa sasa sijui ni Kwanin
 
Back
Top Bottom