Jinsi ya kupika makande

Jinsi ya kupika makande

Sio kiiivo nna mieziii sijayapika hapa home
Ila siyachukii

Ktk upishi iwekwe mafuta kiasi,kitunguu,peanut butter nazi na pilipili na chumvi na iachwe ichemke hadi mchuzi uwe ni mziiiitooo kabisaaa
Mimi sipendelei Nazi ila hapo kwenye peanut better mamy naweza leta mahali kwenu..tafadhari
 
Acha nionekane mshamba humu jf lakini ukweli napenda makende...
Kuna lile LA kijijini kipindi cha mvuno acha ile wanaita ngukuru...
Ile wanaweka nahidi machanga, maharange machanga, Karanga, na choroko... Halafu kuwe na maziwa mgando achana na haya ya tanga fresh..Yale yawe yakujingandishia..halafu kitu kiwe kimelala...mkuu hautasahau kurudi kijijini
Halafu mtu anasema kande hii chakula ni balaa.
 
Siku utakula kwa anayejua kupika utajilaumu why uliyachukia.
Tatizo ni mindset yake kuwa makande ni kama ya watu maskini yaani ni chakula chaguo LA mwisho baada ya mtu kukosa namna.wakati kande linagharama zaidi hata ya pilau na linatumia gesi au mkaa zaidi hata ya nyama...sasa unyonge wa makand e uko wapi..hali hiyo kitu ni kama kachumbali kila kiungo kinaingia hiyo ni fully diet
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahaaaaaaa kebich hili hili?
Au ni yale ya kizungu....?
Mzigua90, hembu acha utanii.......

Halaf hata hoho silielewag elewag kbsaa

kwaio we ushwahi kula kebich tamu?
Achana na kulitaftia chakula kizuri ndio lipendezee...

Umeshushiwa hapo kebich na dona utakulaaa......,
hahahaa alooo Hata ubishe HULIIII
Lile dude bora ulile bichi...
 
Yaani hiki chakula tuseme tu jamani, tulio wengi tunakilia shida.

Halafu dada/mama zetu, hivi mkipika, ni lazima mpike mengi? Yaani tuyale mchana, tuyale jioni na kesho tuyanywee chai duuh
Wewe nyoosha maelezo kuwa unakula kande za Mama Lishe zilizopikwa kibiashara
Ukute kande zimepikwa na Kweme, kweme Ni kama Jamii ya Nazi fulani hivi Ndio utajua Thamani ya Kande
 
Ya nini namzingua
Ili umtumie ila tayari umeshasema unamzingua...ila hadi nimekumbuka kwenda shinyanga Kwa mama Yangu maana sio Kwa Yale makande ya kwenye kupikia kuni...duh
 
Wewe nyoosha maelezo kuwa unakula kande za Mama Lishe zilizopikwa kibiashara
Ukute kande zimepikwa na Kweme, kweme Ni kama Jamii ya Nazi fulani hivi Ndio utajua Thamani ya Kande
Kaisha sema yeye anakilia shida wakati mwambie aende YouTube atafuge interview ya Dada wa hapa mwanza anayeuza bakuli 40 za makande na tena wateja wake wakiwa ni wafanyakazi wa benki na wanalipa sh.5000 Kwa parkage... Sijui shida iko wapi hapo
 
Kumbe team makande aka muthokoi aka githeri tupo wengi.
Duh umenikumbusha shule..Nairobi pale kawangware HIDDEN TALENT hiyo chini ya pastor ENOC miaka hiyo nilikuwa naenda Kwa wale jama pale wanapika githeri pamoja na mthogoi aisee ukiweka na parachichi yaani kishule shule hata siwezi sahau aisee
 
Humu kila anayetetea kitu,
anakuambio oooh sijui kande/kebich lichanganywe na nini,

Hatuzungumzii mchanganyo hapa, tunataka ile head to head,
mapish yanayotumika kupikia chakula/mboga ya kawaida ndio hayo hayo yatumike kupkia kande/kebich, sio sijui peanut, sukari n.k

kizur n kizuri tu, we ushawah ona mtu akilalamika oooh hii nyama uichanganye na ........?

Ile n tamu kuanzia mchemsho,
sasa kula kebich au kande mchemsho kama mate yatatoa ushirikiano,

Hawa akina mama nao mda mwingne wanatuzingua, nyama wanaonja wao kama imeiva,
ushawah ona anaonja kebich/kande zaid ya kuponda/kuminya?
Tena mda mwingne anamsukumizia dada, wewe ........ Hemb kaonje mboga/chakula huko.

Halaf ukizngua, anakutishia et oooh, kuna wenzako wanakitafta hcho, mara hujawah lala na njaa wewe, mara watoto wa skuhz, mara wewe ugenini utapata tabu,
Wazazi wazaman hasa akina mama, akiona amepika mzgo haupit shngoni, hayo ndio mabiti yao, basi wewe unaona maisha nje ya nyumbn magumu kinyama.

Hata boarding, ugali ndondo ndio mpango.
 
Back
Top Bottom